Namwona Rais Magufuli katika sura mpya iliyojaa UPOLE,UPENDO na HURUMA!

Chibati

Senior Member
Jul 28, 2015
150
212
Nasema.,namwona Rais JPM mpya mwenye sura tofauti na niliyoizoea kumwona. Nimeona ongea yake jana wakati akiliongela swala la ukusanyaji mapato kwa hawa TRA,na pia sura aliyoionyesha wakati akitoa pole msibani kwa Mh. Peter Msigwa na alivyokuwa anamwita Mh. Lema. Ni dhahiri JPM kuna kitu naona kinambadirisha.

Sitoshangaa na naiona siku akienda Airport kumpokea Mh. Tundu Lissu na kumpa pole kwa maswahibu yaliyomkuta na kuwaacha wale wapiga zumari wa CCM wasijue pa kuficha nyuso zao. SIASA ni mchezo tu kama wa karata.,ukitaka kushinda zichange mwenyewe,ramba madume yote...mchezo umeumaliza kwa ushindi. Stay tuned!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema.,namwona Rais JPM mpya mwenye sura tofauti na niliyoizoea kumwona. Nimeona ongea yake jana wakati akiliongela swala la ukusanyaji mapato kwa hawa TRA,na pia sura aliyoionyesha wakati akitoa pole msibani kwa Mh. Peter Msigwa na alivyokuwa anamwita Mh. Lema. Ni dhahiri JPM kuna kitu naona kinambadirisha. Sitoshangaa na naiona siku akienda Airport kumpokea Mh. Tundu Lissu na kumpa pole kwa maswahibu yaliyomkuta na kuwaacha wale wapiga zumari wa CCM wasijue pa kuficha nyuso zao. SIASA ni mchezo tu kama wa karata.,ukitaka kushinda zichange mwenyewe,ramba madume yote...mchezo umeumaliza kwa ushindi. Stay tuned!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatydanganyiki, huyu Nduli alipo tufikisha, asitegemee kutufix tena kama mwanzo. Rangi take halisi tumeiona.
 
Jiwe ni actor mzuri, umesahau kuwa alikuwa akijua idadi ya samaki waliomo katika ziwa victoria?
Hats pale mwanzo alipita makanisani na misikitini akiomba kuombewa na kujifanya MTU anae muogopa na kumtegemea Mungu. Kumbe mnafiki, anategemea bunduki. Tusha mfahamu. Anadrama sana.
 
Hategemei box LA kura kushinda. Anategemea tume ya uchaguzi kumtangaza tu.
WaTz tuamke, hakuna uchaguzi chini ya huyu na tume yake.
Stress zimemjaa nasikia Uraisi umekuwa Mwiba msije mkashangaa akienda kujifungia Chato.
 
Siku zote Rais wetu kipenzi yupo hivyo. Sema watanzania tunachukua muda mrefu kumuelewa mtu vizuri.
 
Ni mwanzo mzuri, Tanzania inapendeza pale upendo unapotamalaki. Nashukuru muheshimiwa Raisi kwa mabadiliko chanya unayoyafanya. Ilikua lazima atumbue na kupanga safu yake.
 
Nasema.,namwona Rais JPM mpya mwenye sura tofauti na niliyoizoea kumwona. Nimeona ongea yake jana wakati akiliongela swala la ukusanyaji mapato kwa hawa TRA,na pia sura aliyoionyesha wakati akitoa pole msibani kwa Mh. Peter Msigwa na alivyokuwa anamwita Mh. Lema. Ni dhahiri JPM kuna kitu naona kinambadirisha. Sitoshangaa na naiona siku akienda Airport kumpokea Mh. Tundu Lissu na kumpa pole kwa maswahibu yaliyomkuta na kuwaacha wale wapiga zumari wa CCM wasijue pa kuficha nyuso zao. SIASA ni mchezo tu kama wa karata.,ukitaka kushinda zichange mwenyewe,ramba madume yote...mchezo umeumaliza kwa ushindi. Stay tuned!

Sent using Jamii Forums mobile app
Zile nguo za Zambarao zilimaanisha nini wakati wa mechi ya Uganda? Tusubiri.
 
pia sura aliyoionyesha wakati akitoa pole msibani kwa Mh. Peter Msigwa
Rais alikwenda kutoa pole kwenye msiba wa mkwe wa mwanae (mtoto wake kaoa/kuolewa kwa marehemu), sio sahihi kusema alikwenda kutoa pole kwa peter msigwa
 
Back
Top Bottom