Namwambia Mungu

Aah aah maisha magumu ktk nyanja nyingi sana.

Me kakipato ninako kidogo but kila nikianzisha relationship natendwa na hawa viumbe. Sasa sina hata ka demu yani,natia hurumaaa.Uwezo wa kukahudumia ninao but sipatu ili nituliee aaaargh
 
Jitume mkuu... Huyo unayemdhania atakupotezea muda
Usikufuru ndugu yangu
Kukufuru ni kufanyaje?
 
Aah aah maisha magumu ktk nyanja nyingi sana.

Me kakipato ninako kidogo but kila nikianzisha relationship natendwa na hawa viumbe. Sasa sina hata ka demu yani,natia hurumaaa.Uwezo wa kukahudumia ninao but sipatu ili nituliee aaaargh
Nalo ni tatiZo bro Seema Nini pingine Mungu anakuepusha na kitu vuta subira ndoa ni uzima au mauti
 
Kukufuru ni kukana uwepo na uwezo Mungu. Kumbuka kila kitu kina chanzo vitu havikutokea tuu
Ukisema kukana maanae yake namjua alafu namkana! Mimi simjui na wala maelezo yanayomuelezea hayapatani na akili

Pia unaposema kila kitu kina chanzo chake itabidi yeye pia awe na chanzo chake.... Haiwezekani yeye mwerevu kuliko sisi asiwe na chanzo
 
Soma vitabu vinavyo mhusu utamjua
Ukisema kukana maanae yake namjua alafu namkana! Mimi simjui na wala maelezo yanayomuelezea hayapatani na akili

Pia unaposema kila kitu kina chanzo chake itabidi yeye pia awe na chanzo chake.... Haiwezekani yeye mwerevu kuliko sisi asiwe na chanzo
 
Pole.sana mkuu, Mapito tumeumbiwa binadamu ndugu, lakini kumbuka unapopita Kote huku hauko pekeyako.
Lakini swala la ku divorce kuna mtu alikushauri kwamba kama bado unahisi unampenda mkeo na hauko tayari kubeba maumivu basi usimuache
 
Amen
 
Mwenyewe haeleweki binafsi nimeshamwambie aje hataki nataka nadhani ni Hali yangu ya uchumi
 
Kuna mambo binadamu walikwama nikamuita akafanya so he is really
 
Pole mkuu ,pia tunashukuru Kwa kumkumbusha Mungu atukumbuke tunaopitia magumu.Aisee maisha yako upsidedown sometimes unaweza kufuru.unajitahidi kutenda mema na kusaidia Sana watu at the end majanga mfululizo yanakupiga ,unamlilia Mungu why me.But hakuna namna nikumtegemea na kupigana ,Mana hakuna wa kubadili matokeo Kama sie yeye na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…