Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,634
- 6,372
Amina! Imani yako itakuponya!Kwako Mungu baba mlezi wa dunia na Mbingu.
Am broke Guy, dhaifu na mdhambi!
Najua mengi mazuri umenitendea zaidi hata Sasa unanifanyia mengi mazuri nashkuru kwa yoote.
Dua na Sala ni udhihirisho wa imani kwa matendo. Nami sitosita kuendelea kutimiza kwakua najua wewe ni msikivu na mwaminifu.
Mungu mlezi wangu hii ndio status/ hali yangu kwa Sasa
1. Spiritual - down
2. Financial - broke
3. Relationship - broke
4. Ideas - broke.
Najihisi kupoteza imani kwa Yale nayapitia nakose nguvu hata za kupiga magoti kusujudu kukulilia kutokana na mfululizo wa matukio magumu uliyoruhusu niyapitie. Niokoe kwa Hilo Mungu baba mlezi wangu.
Nilipoteza kazi, ukanipa biashara nayo ikafa Sasa Sina la kufanya na majukumu yamenielemea hata watoto ulionipa nashindwa kuwatunza.
Ukanipa Ndoa Nikaipenda ndoa yangu nayo ukaruhusu isambaratike japo nilikuomba ndoa yangu idumu kwakua sikutaka wanangu wakue na single parent Kama niliyoyapitia Mimi. Nimebaki mwenyewe na watoto tunamsubiria Mama yao atarudi lini. Ingilia Kati Baba
Ulinibariki nikawa mtu smart mwenye mawaZo very constructive and attractive, now days siko hivo Tena kwa Sababu Nina experience failure nyingi kuliko mafanikio kwakipindi kirefu Sasa. Naogopa hata kufanya maamuzi japo maisha ni maamuzi.
Najua maombi ni Siri, lakini nayaandika haapa ili kesho iwe ushuhuda kwamba nalikuita ukaniitikia, ukanifuta machozi na kuniinua Tena.
Katikati ya Giza Nene hili Bado Kuna sauti ndogo inaniambia Mimi ni mshindi, nami nimeamua kuisikiliza kwa makini nakuishikilia.
Ombi hili Baba Mungu liwaguse wote wanaopitia changamoto katika maisha yao!
Amin
Amina 🙏Amina! Imani yako itakuponya!
Amina 🙏Amina! Imani yako itakuponya!
Tuwe wajasiri ndio maishaUmeniliza.
Mkuu Mungu yupo na anasikia nashuhudia ilo.Kabisa kabisa unategemea huyu Mungu anayo masikio?
Vile mambo yapo shagala bagala unaamini kuna Mungu kabisa?
Pambana mkuu huyo unayemdhania atakupotezea muda tu
Yupo anafanya nini wakati matatizo yanaongezeka duniani badala ya kuisha?Mkuu Mungu yupo na anasikia nashuhudia ilo.
Huko sio kudhihirisha utukufu wake bali ni kudhihirisha kushindwa kwake.Inaonekana Mungu anajua wajibu wake kwako, yote hayo yaliyokutokea yameandikwa ili kudhihirisha utukufu wake. Ila pambana na tafuta ushauri kwa Jr Mshana.
Hata baba anaweza akanunua kila kitu akawwka ndani na Bado watoto wakafa njaa wasipoamua kupika ama kikapikwa wasile.Yupo anafanya nini wakati matatizo yanaongezeka duniani badala ya kuisha?
Inawezekanaje baba wa familia ana uwezo wa kila kitu lakini watoto wake wanajifia njaa, kwa magonjwa, wanabambikiwa kesi, wanateswa, wanauawa na wengine ni vilema maisha yao yote?
Acheni unafiki enyi waumini wa msichokijua
Ndugu believe me yupo na utadhibitishaMungu hayupo
Face problems head on!
Dont feed yourself with lies to make yourself feel good falsely!
Kwako Mungu baba mlezi wa dunia na Mbingu.
Am broke Guy, dhaifu na mdhambi!
Najua mengi mazuri umenitendea zaidi hata Sasa unanifanyia mengi mazuri nashkuru kwa yoote.
Dua na Sala ni udhihirisho wa imani kwa matendo. Nami sitosita kuendelea kutimiza kwakua najua wewe ni msikivu na mwaminifu.
Mungu mlezi wangu hii ndio status/ hali yangu kwa Sasa
1. Spiritual - down
2. Financial - broke
3. Relationship - broke
4. Ideas - broke.
Najihisi kupoteza imani kwa Yale nayapitia nakose nguvu hata za kupiga magoti kusujudu kukulilia kutokana na mfululizo wa matukio magumu uliyoruhusu niyapitie. Niokoe kwa Hilo Mungu baba mlezi wangu.
Nilipoteza kazi, ukanipa biashara nayo ikafa Sasa Sina la kufanya na majukumu yamenielemea hata watoto ulionipa nashindwa kuwatunza.
Ukanipa Ndoa Nikaipenda ndoa yangu nayo ukaruhusu isambaratike japo nilikuomba ndoa yangu idumu kwakua sikutaka wanangu wakue na single parent Kama niliyoyapitia Mimi. Nimebaki mwenyewe na watoto tunamsubiria Mama yao atarudi lini. Ingilia Kati Baba
Ulinibariki nikawa mtu smart mwenye mawaZo very constructive and attractive, now days siko hivo Tena kwa Sababu Nina experience failure nyingi kuliko mafanikio kwakipindi kirefu Sasa. Naogopa hata kufanya maamuzi japo maisha ni maamuzi.
Najua maombi ni Siri, lakini nayaandika haapa ili kesho iwe ushuhuda kwamba nalikuita ukaniitikia, ukanifuta machozi na kuniinua Tena.
Katikati ya Giza Nene hili Bado Kuna sauti ndogo inaniambia Mimi ni mshindi, nami nimeamua kuisikiliza kwa makini nakuishikilia.
Ombi hili Baba Mungu liwaguse wote wanaopitia changamoto katika maisha yao!
Amin
Usikufuru ndugu yangu.Huko sio kudhihirisha utukufu wake bali ni kudhihirisha kushindwa kwake.
Baba mwenye uchumi mzuri akiitelekeza familia yake hawezi kusifiwa bali anakuwa ni mpumbavu aliyepungukiwa akili!
Haiwezekani tuteseke huku akijinasibu anatupenda na anaweza yote.
Wenye kufikiri kwa usahihi lazima tuone mapungufu yake
Jitume mkuu... Huyo unayemdhania atakupotezea mudaHata baba anaweza akanunua kila kitu akawwka ndani na Bado watoto wakafa njaa wasipoamua kupika ama kikapikwa wasile.
Ndivo ilivo kwa Mungu anaona yote lakini anataka utayari wetu was kuyapata, pia kufuata utaratibu alioweka.
Ndo awali nilisema Mimi ni dhaifu kwasababu najua yawezekana kuna mahali nilikosea ndo Mana napitia haya.
Kwakua yeye ni mwenye huruma amuitaye humuutikia