<br / ni kweli kn wanawake wabaya na kuna wakwe wabaya ila kwa hili inaonyesha wazi kuwa hy mama mkwe ndo mbaya tn ni nyoka sbb ana mume wake kamwacha pekeyake anajifunika ngumi yy anakula bata na kumnanga mkwewake dawa ya huyu mama ni KUMWEKEA UPUPU KWENYE MAJI YA KUOGA,CHUMBANI ANAKOLALA, KITANDANI NA KWENYE NGUO ZAKE ZOTE WALAH ATAONDOKA AKIKOMAA KM BABA MKWE ANANYUMBA MNAYOWEZA KWENDA KUISH KWA MUDA MUAGENI KUWA MNAENDA KUKAA NA BABA MKWE MKIKAA HK CK 2, 3 ATAWAFATA ikishindikana rudi jf nitakupa mbinu mpyaSaa nyingine hata nyie wake zetu mna matatizo bana, hivyo mi sikuamini 100% kwamba mama mkwe ndo mbaya. Jitoe kwanza boriti jichoni mwako.

Mlete baba yako hapo nyumbani ili wamalizane kiutu uzima, huyo mama ana LIBIDO
yaani unataka kumpa ushindi wa mezani? bidada inabidi tukufunde upyaa! dawa ya mama mkwe mgomvi ni ku-ignore chokochoko zake with a big smile on ur face! hebu mchukulie kama mwanao! hivi mwanao akikutapikia unapata stress?akifanya kitu ww smile tu,na sio lazma umuambie makosa yake. muoneshe ww ni mwanamke wa shoka,na umeijenga nyumba yako juu ya mwamba. usigombane nae wala kutukanana nae,atachoka akuache mwenyewe! keep urself busy,ukiona anakukera angalia tv! kha,tubadilishane nimpe shit hadi ajione alivyo wa juzi,lmao!
Ukiondoka na hiyo mimba utaipeleka kwa nani? Nakushauri usiondoke na mimba ya watu tafadhali.Hamjambo wana jamvi. Mwenzenu namwachia mama mkwe nyumba aishi na mwanae. Ni wiki ya 3 haongei na mimi anapika kwake. Kibaya alichemsha mitishamba ninywe na house girl hakutoa maelezo tukagoma. Anaondoka mchana kurudi usiku. Mume wangu hayupo hadi dec, hali ni tete. Na anamuogopa mamake sana. Hatak kurud kwa mumewe, ndgu wamechoka vikao. Kesha sambaratisha ndoa ya mtoto wake mkubwa anaprefer wanawake wa kabila lake hata wajukuu anawabagua. Nisaidien wandugu na hii hali yangu.

<br / he! We umeoa/umeolewa?ulipitia jeshini?
<br / ni kweli kn wanawake wabaya na kuna wakwe wabaya ila kwa hili inaonyesha wazi kuwa hy mama mkwe ndo mbaya tn ni nyoka sbb ana mume wake kamwacha pekeyake anajifunika ngumi yy anakula bata na kumnanga mkwewake dawa ya huyu mama ni KUMWEKEA UPUPU KWENYE MAJI YA KUOGA,CHUMBANI ANAKOLALA, KITANDANI NA KWENYE NGUO ZAKE ZOTE WALAH ATAONDOKA AKIKOMAA KM BABA MKWE ANANYUMBA MNAYOWEZA KWENDA KUISH KWA MUDA MUAGENI KUWA MNAENDA KUKAA NA BABA MKWE MKIKAA HK CK 2, 3 ATAWAFATA ikishindikana rudi jf nitakupa mbinu mpya

hivi unafikiri kati ya wewe na mwanae ni nani bora??kama unaona huwezi kuishi naye chapa mwendo,yeye ndiye aliyekuzalia huyo anaye kukunja na kukupindua kitandani kama samaki,wanawake wa siku hizi mnajifanya mnaona mbali,mtajijuuuuuuu
We mdada toka lini shetani anaachiwa nyumba, yaani unataka kumruhusu abomoe nyumba yako wakati unamjua ni shetani, komaa nae aondoke yeye nyumba yako ipone, chamsingi mumeo pia hawezi saidia kwani huyo mama ni mchawi na ana roho za kishetani, kimsingi angalia cna kama mume wako hanatabia hizo za mama yake , bac anwezakuwa amefungwa kiufahamu iliashindwe kutoa maamuzi, omba watumishi wa MUNGU wa kweli wakusaidie ni kazi kama ya cku tatu tu ataachia mwenyewe, pia mwombee mumeo afunguliwe kwani pia anaweza kuwa kifungoni
Nakuhakikishia na kama MUNGU aishivyo, watu wa YEHOVA wakimufungia kazi cku tatu tu kwisha kazi na hatarudi kamwe, iliijulikane kuwa MUNGU NIMKUU NA UFALME WAKE HAUSHINDWI. Pia nawewe jifunze kupambana.