SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,562
- Thread starter
- #41
Asante baba
Asante baba
Nini sasaHa ha ha umenikumbusha mbali sana
Nigga, You don't need to think to much about a girl who's maybe right now a nigga somewhere is positioned her a doggystyle or whatever the position they're using now and at the same time she's crying for the sweetness. Focus on your studying boy or do something meaningful to do not remember her.Habarini wanangu wa JF, ni muda sasa sijapost thread.
Iko hivi nimemaliza form 6 mwaka jana mwezi wa 5 katika shule fulani jijini mbeya ilikuwa co-education (boarding).
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kuwa personally mimi ni domo zege na hii imechangiwa na puchu pamoja na kusoma single school o-level sasa basi wakati tunakaribia kuua 6 niliamua niface my fear nikaanza kuchangamka kidogo kwa madenti kwa kufuata ushauri wa (jamaangu mmoja) mtu wa pisi.
Katika harakati hizo nikaopoa denti mmoja wa arts mimi nilikuwa science alikuwa mzuri kweli kwa macho yangu lakini ila tulikuwa tunaoneana aibu sana![]()
sema tulisukumana hivyohivyo
Sasa kumbe kwenye harakati za hapa na pale nikasikia tetesi kuwa demu flani wa masomo ya biashara alikuwa ananikubali nikasema mmmh hapa vipi kudadisi zaidi nikamjua ni nani kusema ukweli nilikuwa namkubaligi sababu ya (urefu+shepu+rangi)
Ila nikaamua kumpotezea nikaamua kubaki na huyu mwingine.
Cha ajabu baada ya kumaliza 6 nilikuwa nawaaga wanangu fresh na huyu chick wangu wa arts fresh ila huyu mwingine nilitaka kumpotezea ila akalazimisha nimuage hivyo nikafake kidogo si mnajua tena sasa kwanzia alivyoniaga mpaka leo namuwazaga tu sielewi nn shida?
Sio chaguo langu ila namuwaza sana, mawasiliano nao baada ya kumaliza hakuna kwa wote hivyo ilikuwa kama kupunguzana ugumu tu kwa muda mfupi.
Sasa wanangu shida yangu ni kuwa kwanzia nimalize 6 mpaka leo yule demu niliyempotezeaga NAMUWAZA SANAA wanangukhaa, yaani unakuta najishughulisha na mihangaiko yangu ila haipiti siku sijamuwaza. Yaaani nasikia kama moyo unachezacheza yaani ni kero tu wanangu.
Naombeni kama kuna mtu ashawahi pata scenario kama hii anieleze jinsi ya kuikimbia maana inanitesa sana nilimpotezeaga sana ila namuwaza balaaa.
DeepPond Shimba ya Buyenze mpwayungu village
Naombeni mawazo yenu pia
View attachment 2488261
Huyo pamoja 16yrs akija inbobo yako ,,,hatutashangaa kusikia kamla shangazi yake ,,,wanawake akili zenu mnazijua wenyeweNilijua tu vitoto vimo humu ambavyo havijui kitu wao kuropokwa tu
Mpe na kalenda ya kuchukua ARV Kila mweziHuyo anaishi moyoni mwako, fanya kumtafuta
Mwambie ajeHuyo pamoja 16yrs akija inbobo yako ,,,hatutashangaa kusikia kamla shangazi yake ,,,wanawake akili zenu mnazijua wenyewe
Usije ukatuulia kijana wetu ,bado kinda SanaMwambie aje
Akiamua kumtafuta mengine atajiongezaMpe na kalenda ya kuchukua ARV Kila mwezi
Kwanza hawezi kuingia inbox kwasababu sidate watu wasiojua kuoga mie napia na kitu changuUsije ukatuulia kijana wetu ,bado kinda Sana
Ukweli mchungu huu nimeupokeaNigga, You don't need to think to much about a girl who's maybe right now a nigga somewhere is positioned her a doggystyle or whatever the position they're using now and at the same time she's crying for the sweetness. Focus on your studying boy or do something meaningful to do not remember her.
Daaah hii ni kweli asee theostina popote ulipo unautesa moyo wangu sikuamini kama mapenzi yatakuja kunishika maini hivi 😭😭😭 naforce kutokukupenda ila nimeshindwaHuyo anaishi moyoni mwako, fanya kumtafuta
Ignore her broHuyo pamoja 16yrs akija inbobo yako ,,,hatutashangaa kusikia kamla shangazi yake ,,,wanawake akili zenu mnazijua wenyewe
Unauhakika bro Accumen maana moyo unanitesa sana sijawahi jisikia hivi aseeAmini hata yeye anakuwaza iko ivyo yaani..
Pole,Daaah hii ni kweli asee theostina popote ulipo unautesa moyo wangu sikuamini kama mapenzi yatakuja kunishika maini hivi 😭😭😭 naforce kutokukupenda ila nimeshindwa
Duh...Kwanza hawezi kuingia inbox kwasababu sidate watu wasiojua kuoga mie napia na kitu changu
Kumbe ni dogo sana