Infinite_Kiumeni
JF-Expert Member
- Jan 23, 2023
- 382
- 692
Kwanza hongera kwa ku face your fears.
.
Apo inabidi uanze kujifunza kuyaelekeza mawazo na hisia zako kitofauti. Njia ambayo inanisaidiaga katika hilo ni kutopambana na mawazo yako. Ichukulie poa tu, wazo likiwa jiambie 'okay' likija tena 'okay'. Lengo la kufanya ivi ni kupunguza nguvu ya wazo juu yako lisikupe mawazo juu ya wazo lako.
.
Bustani bila kuitunza uchafu hujaa, hivyo hivyo na akili yako. Anza kufanya kitu cha kusaidia wengine kitakachoyatawala mawazo yako. Utapata ujuzi mpya na akili yako itatanuka zaidi kiasi kwamba wazo juu ya mwanamke halitakusumbua. Kumbuka una miaka mingi mbele kwaiyo una nafasi ya kuwa bora zaidi ya ulivyo sasa.
Zaidi utakua mwanaume wa thamani zaidi na mwenye mamlaka. Face your fears again.