SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,562
- Thread starter
- #21
20Una umri gani?
20Una umri gani?
Toa ushauri usi🤣🤣 ww😂😂😂😂
Asante kwa ushauri mkuuUmemaliza form 6 2022 af unajiita kidume?
Sema "kitoto"
Abput the girl, unamuwaza tu kwa sababu hujachambua papuchi zingine. Ukishakua mzoefu sokoni, utamsahau
Bado upo daah 😠😠😠Mtafute tu huyo demu . Vipi sasa hauna udomo zege ?
Inahusiana vipi na hapa sasaHahaaaa, JF bwana. Tupo na watoto wetu humu ndio maana sasa hoja za humu ni za kitoto, zimejaa ushabiki, kashfa, ujuaji na matusi juu. Kuna mmoja alinitukana na akaja inbox na kunitumia namba yake kwa jeuri eti tutafutane ili tuoneshane umwamba. Hahaaaaa, dogo nilipomtafuta akaanza kulialia. Anatuchumba biti amepata kazi Sudan kumbe yupo Rombo Gaganiga 😜😄🙂😀😁🤣
Nilkuwa nasoma mkuu (maths) 😍😍😍 naipenda sanaTHread ya sa9 usiku hii.
Mkuu vp muda wa wachawi wewe unatype
Ukimaliza chuo utafamu namna ya kuikimbia hiyo scenario.Habarini wanangu wa jf, ni muda sasa sijapost thread.
Iko hivi nimemaliza form 6 mwaka jana mwezi wa 5 katika shule fulani jijini mbeya ilikuwa co-education (boarding).
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kuwa personally mimi ni domo zege na hii imechangiwa na puchu pamoja na kusoma single school o-level sasa basi wakati tunakaribia kuua 6 niliamua niface my fear nikaanza kuchangamka kidogo kwa madenti kwa kufuata ushauri wa (jamaangu mmoja) mtu wa pisi.
Katika harakati hizo nikaopoa denti mmoja wa arts mimi nilikuwa science alikuwa mzuri kweli kwa macho yangu lakini ila tulikuwa tunaoneana aibu sana![]()
sema tulisukumana hivyohivyo
Sasa kumbe kwenye harakati za hapa na pale nikasikia tetesi kuwa demu flani wa masomo ya biashara alikuwa ananikubali nikasema mmmh hapa vipi kudadisi zaidi nikamjua ni nani kusema ukweli nilikuwa namkubaligi sababu ya (urefu+shepu+rangi)
Ila nikaamua kumpotezea nikaamua kubaki na huyu mwingine.
Cha ajabu baada ya kumaliza 6 nilikuwa nawaaga wanangu fresh na huyu chick wangu wa arts fresh ila huyu mwingine nilitaka kumpotezea ila akalazimisha nimuage hivyo nikafake kidogo si mnajua tena sasa kwanzia alivyoniaga mpaka leo namuwazaga tu sielewi nn shida?
Sio chaguo langu ila namuwaza sana, mawasiliano nao baada ya kumaliza hakuna kwa wote hivyo ilikuwa kama kupunguzana ugumu tu kwa muda mfupi.
Sasa wanangu shida yangu ni kuwa kwanzia nimalize 6 mpaka leo yule demu niliyempotezeaga NAMUWAZA SANAA wanangukhaa, yaani unakuta najishughulisha na mihangaiko yangu ila haipiti siku sijamuwaza. Yaaani nasikia kama moyo unachezacheza yaani ni kero tu wanangu.
Naombeni kama kuna mtu ashawahi pata scenario kama hii anieleze jinsi ya kuikimbia maana inanitesa sana nilimpotezeaga sana ila namuwaza balaaa.
DeepPond Shimba ya Buyenze mpwayungu village
Naombeni mawazo yenu pia
View attachment 2488261
Bado upo daah
Mpaka mwezi wa kumi uje kufika ili vijana wasajiliwe kwenda kuanza masomo ya chuo kikuu cha moto tutakuwa tumekipata.Hahaaaa, JF bwana. Tupo na watoto wetu humu ndio maana sasa hoja za humu ni za kitoto, zimejaa ushabiki, kashfa, ujuaji na matusi juu. Kuna mmoja alinitukana na akaja inbox na kunitumia namba yake kwa jeuri eti tutafutane ili tuoneshane umwamba. Hahaaaaa, dogo nilipomtafuta akaanza kulialia. Anatuchumba biti amepata kazi Sudan kumbe yupo Rombo Gaganiga![]()
Umeandika upupu tokana na umri wako mwanangu. Mwanangu Gift naye alimaliza mwaka Jana nawe form sixInahusiana vipi na hapa sasa
Kwa hyo ukaona mpwayungu village na yeye atakupa ushauri kabisa kabisa 😂😂Habarini wanangu wa JF, ni muda sasa sijapost thread.
Iko hivi nimemaliza form 6 mwaka jana mwezi wa 5 katika shule fulani jijini mbeya ilikuwa co-education (boarding).
Sababu ya kuleta kisa hiki ni kuwa personally mimi ni domo zege na hii imechangiwa na puchu pamoja na kusoma single school o-level sasa basi wakati tunakaribia kuua 6 niliamua niface my fear nikaanza kuchangamka kidogo kwa madenti kwa kufuata ushauri wa (jamaangu mmoja) mtu wa pisi.
Katika harakati hizo nikaopoa denti mmoja wa arts mimi nilikuwa science alikuwa mzuri kweli kwa macho yangu lakini ila tulikuwa tunaoneana aibu sana![]()
sema tulisukumana hivyohivyo
Sasa kumbe kwenye harakati za hapa na pale nikasikia tetesi kuwa demu flani wa masomo ya biashara alikuwa ananikubali nikasema mmmh hapa vipi kudadisi zaidi nikamjua ni nani kusema ukweli nilikuwa namkubaligi sababu ya (urefu+shepu+rangi)
Ila nikaamua kumpotezea nikaamua kubaki na huyu mwingine.
Cha ajabu baada ya kumaliza 6 nilikuwa nawaaga wanangu fresh na huyu chick wangu wa arts fresh ila huyu mwingine nilitaka kumpotezea ila akalazimisha nimuage hivyo nikafake kidogo si mnajua tena sasa kwanzia alivyoniaga mpaka leo namuwazaga tu sielewi nn shida?
Sio chaguo langu ila namuwaza sana, mawasiliano nao baada ya kumaliza hakuna kwa wote hivyo ilikuwa kama kupunguzana ugumu tu kwa muda mfupi.
Sasa wanangu shida yangu ni kuwa kwanzia nimalize 6 mpaka leo yule demu niliyempotezeaga NAMUWAZA SANAA wanangukhaa, yaani unakuta najishughulisha na mihangaiko yangu ila haipiti siku sijamuwaza. Yaaani nasikia kama moyo unachezacheza yaani ni kero tu wanangu.
Naombeni kama kuna mtu ashawahi pata scenario kama hii anieleze jinsi ya kuikimbia maana inanitesa sana nilimpotezeaga sana ila namuwaza balaaa.
DeepPond Shimba ya Buyenze mpwayungu village
Naombeni mawazo yenu pia
View attachment 2488261
Sisi wanae au sio 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂kabisaSisi wanae au sio 😂😂😂
Kind ofKwa hyo ukaona mpwayungu village na yeye atakupa ushauri kabisa kabisa 😂😂