Namuwaza sana, nifanyaje?

Namuwaza sana, nifanyaje?

Hiyo kitu ipo kwa kila mtu mzee unaweza kua na madem weng lakn mmoja tu ndo akawa amekuchanganya ... kwa hiyo itapita tu but ni ngumu kumsahau lakn jitahidi umtafute ukidhi haja ya moyo wako.. mapema
 
Hiyo kitu ipo kwa kila mtu mzee unaweza kua na madem weng lakn mmoja tu ndo akawa amekuchanganya ... kwa hiyo itapita tu but ni ngumu kumsahau lakn jitahidi umtafute ukidhi haja ya moyo wako.. mapema
Sawasawa mkuu 😒🤛
 
Habarini wanangu wa JF, ni muda sasa sijapost thread.

Iko hivi nimemaliza form 6 mwaka jana mwezi wa 5 katika shule fulani jijini mbeya ilikuwa co-education (boarding).

Sababu ya kuleta kisa hiki ni kuwa personally mimi ni domo zege na hii imechangiwa na puchu pamoja na kusoma single school o-level sasa basi wakati tunakaribia kuua 6 niliamua niface my fear nikaanza kuchangamka kidogo kwa madenti kwa kufuata ushauri wa (jamaangu mmoja) mtu wa pisi.

Katika harakati hizo nikaopoa denti mmoja wa arts mimi nilikuwa science alikuwa mzuri kweli kwa macho yangu lakini ila tulikuwa tunaoneana aibu sana sema tulisukumana hivyohivyo

Sasa kumbe kwenye harakati za hapa na pale nikasikia tetesi kuwa demu flani wa masomo ya biashara alikuwa ananikubali nikasema mmmh hapa vipi kudadisi zaidi nikamjua ni nani kusema ukweli nilikuwa namkubaligi sababu ya (urefu+shepu+rangi)

Ila nikaamua kumpotezea nikaamua kubaki na huyu mwingine .

Cha ajabu baada ya kumaliza 6 nilikuwa nawaaga wanangu fresh na huyu chick wangu wa arts fresh ila huyu mwingine nilitaka kumpotezea ila akalazimisha nimuage hivyo nikafake kidogo si mnajua tena sasa kwanzia alivyoniaga mpaka leo namuwazaga tu sielewi nn shida?

Sio chaguo langu ila namuwaza sana, mawasiliano nao baada ya kumaliza hakuna kwa wote hivyo ilikuwa kama kupunguzana ugumu tu kwa muda mfupi.

Sasa wanangu shida yangu ni kuwa kwanzia nimalize 6 mpaka leo yule demu niliyempotezeaga NAMUWAZA SANAA wanangu khaa, yaani unakuta najishughulisha na mihangaiko yangu ila haipiti siku sijamuwaza. Yaaani nasikia kama moyo unachezacheza yaani ni kero tu wanangu.

Naombeni kama kuna mtu ashawahi pata scenario kama hii anieleze jinsi ya kuikimbia maana inanitesa sana nilimpotezeaga sana ila namuwaza balaaa.

DeepPond Shimba ya Buyenze mpwayungu village

Naombeni mawazo yenu pia

View attachment 2488261
Utoto bana
 
Kuna 80% possiblity kisaikolojia iko ivyo sema tambua Kuna Ego kati yenu ..Kile kiburi unapenda lakini unajifanya unapotezea kwa kweli nyote bado mnapendana labda mpaka atakapoolewa.
Asante kwa mawazo yako 🤛
 
Back
Top Bottom