Namuona Pasco Mayalla kwenye teuzi za Rais Magufuli

Ndugu yangu Pascal Mayalla naomba nikusihi jambo moja tu.
Ukipata nafasi yoyote ya kuwatumikia Watanzania, tafadhali sana nakuomba ufanye jitihada zako zote za kuhakikisha unatetea kuimarika kwa mifumo ambayo itawawezesha wananchi wa kawaida kwa ujumla wao kunufaika na utumishi wako.
Mimi naamini uwezo unao.
Mimi naamini nia unayo.
Mimi naamini sababu unayo.
Tafadhali sana ndugu P, hebu tuungane katika kulifanyia taifa hili pendwa kitu ambacho kitawasaidia hata vitukuu vya kila Mtanzania kujivunia uwepo wetu hapa duniani.
 
Mkuu residentura, kwanza siku nyingi, mimi ni mtumishi wa umma!, naomba kukuahidi, hata hili jambo langu Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!
nisipokuwa, juzi kati niliapishwa kuwa wakili, hivyo nitawasaidia sana Watanzania!. Kitu muhimu ni kuniombea tuu ili hili jambo langu liwe!.
P
 
Kwanza nimpongeze member mwenzetu huyu kwa kuthubutu na kuomba uteuzi wa kugombea ubunge kupitia CCM.
Mkuu Msanii, kwanza asante kwa pongezi hizi.
Ninamuona Pasco Mayala kama mtu makini mwenye uthubutu pia msimamo mahiri unaodhihirisha utajiri wa fikra nyingi chanya. Ukipitia posts zake ilikuwa siyo rahisi king'amua huyu ni mwanaCCM. Alishawahi kutoa hoja zilizomfikisha mbele ya kamati ya maadili ya Bunge ambapo alitoka akiwa mshindi.
Asante kwa hili
Msimamo wake na endapo ataendelea kuonyesha uzalendo kwa nchi yake ninamuona ni mtu ambaye anasubiri muda muafaka kuteuliwa kwenye serikali ijayo
Asante, uzalendo wa baadhi yetu ni inborn, yaani upo, na sasa huu ndio huu uliouzungumza hapa umewadia, maana nimekuja na hili mbele yenu Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!
Ninamuona kwenye nafasi ya kiweza kuwa mbunge , anaweza kufaa kwenye nafasi hizo au zinazoweza kuhitaji huduma yake.
Ni kweli saizi yangu ni Ubunge, tena sio huu ubunge wa madafu, ni ubunge wa EALA, nimeishatupa karata yangu na ushauri kwa chama changu, Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo
Mimi kama mwanachama mkongwe wa JamiiForums ninaona kwa dhati nyota ya ndugu yetu ikipaa angani. Nina ombi moja kwa Pasco, usiache kuisemea JF hasa yale chanya ambayo wengi wanaziba masikio kana kwamba hawayajui. Usiache kututetea.

Wakatabahu
Msanii.
Mkuu Msanii , kiukweli jf imenitoa mbali, kamwe sitaisahau, au kuiacha katika mapito yangu, na naamini kwa sala zenu na maombi yenu, jf tunakwenda kumuingiza mwana jf mwenzetu, kwenye vyombo vya maamuzi.
Mungu nisaidie!.
Mungu Ibariki JF.
Paskali
 
Ndugu yangu Pascal Mayalla naomba nikusihi jambo moja tu.
Ukipata nafasi yoyote ya kuwatumikia Watanzania, tafadhali sana nakuomba ufanye jitihada zako zote za kuhakikisha unatetea kuimarika kwa mifumo ambayo itawawezesha wananchi wa kawaida kwa ujumla wao kunufaika na utumishi wako.
Mimi naamini uwezo unao.
Mimi naamini nia unayo.
Mimi naamini sababu unayo.
Tafadhali sana ndugu P, hebu tuungane katika kulifanyia taifa hili pendwa kitu ambacho kitawasaidia hata vitukuu vya kila Mtanzania kujivunia uwepo wetu hapa duniani.
Hakika huyu jamaa ni turufu
 
Kwanza nimpongeze member mwenzetu huyu kwa kuthubutu na kuomba uteuzi wa kugombea ubunge kupitia CCM. Mchakato wa uteuzi umekamilika wateuliwa kugombea kupitia CCM wameshatajwa.

Ninamuona Pasco Mayala kama mtu makini mwenye uthubutu pia msimamo mahiri unaodhihirisha utajiri wa fikra nyingi chanya. Ukipitia posts zake ilikuwa siyo rahisi king'amua huyu ni mwanaCCM. Alishawahi kutoa hoja zilizomfikisha mbele ya kamati ya maadili ya Bunge ambapo alitoka akiwa mshindi.

Msimamo wake na endapo ataendelea kuonyesha uzalendo kwa nchi yake ninamuona ni mtu ambaye anasubiri muda muafaka kuteuliwa kwenye serikali ijayo ambapo bila shaka

Ninamuona kwenye nafasi ya kiweza kuwa mbunge au Msemaji wa Ikulu, anaweza kufaa kwenye nafasi hizo au zinazoweza kuhitaji huduma yake.

Mimi kama mwanachama mkongwe wa JamiiForums ninaona kwa dhati nyota ya ndugu yetu ikipaa angani. Nina ombi moja kwa Pasco, usiache kuisemea JF hasa yale chanya ambayo wengi wanaziba masikio kana kwamba hawayajui. Usiache kututetea.

Wakatabahu
Msanii.
Mkuu Msanii, kwanza asante kunianzishia thread. Nina jambo langu
Tumuombee mwanaJF Pascal Mayalla apitishwe

Wote tuseme Amen!
Mkuu Yahana Mbatizaji, johnthebaptist , amen, amen!.
Hili jambo nimelianzia hapa Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!
Nikakumbana na Kikwazo cha kwanza hapa Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie
Nikatoa ushauri kwa chama changu kuhusu EALA Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo
Kazi ya Uelimishaji Umma kuhusu EAC inaendelea Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano
Tukaitwa Dodoma kuhojiwa, huko nikakutana na A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!
Sasa leo ndio kikao cha CC kuchuja majina, hivyo sala zenu zinahitajika sana kuliko wakati mwingine wowote!.
Mungu Nisaidie!.
P
 
Wewe unafaa sana sana kwenye hilo jambo.

Unajua kujenga hoja
Unasikiliza
Unafanya tafiti
Haukosi ubunifu.

Mungu akutangulie na kukupa kibali
 
Back
Top Bottom