Namuomba TUNDU LISU agombee uraisi 2015

Namuomba TUNDU LISU agombee uraisi 2015

Kwa mkoa wa singida wanaofaa kugombea urais ni wawili tu, nao ni Tundu lissu na Dk. Kitilya mkumbo, wengine ni hamna kitu, hawafai! Lissu ni mzalendo asiye tiliwa shaka kwa taifa letu!

sawa yeye ni mzaledo je?wewe unamuona hakili yake yiko sawa
 
Kwa mkoa wa singida wanaofaa kugombea urais ni wawili tu, nao ni Tundu lissu na Dk. Kitilya mkumbo, wengine ni hamna kitu, hawafai! Lissu ni mzalendo asiye tiliwa shaka kwa taifa letu!

sawa yeye ni mzaledo je wewe unamuonaje. hakili yake yiko sawa?
 
Kwan hujui KAMANDA LISU NI CHAMA GANI! unashonwa nini ww
Athubutu aone kama hajafukuzwa chama na Dr.Slaa pamoja na wewe mpambe wake, mgombea urais wa maisha Chadema ni Dr.Slaa.

Tundu Lissu, lazima atakuwa shemeji yako.
 
Athubutu aone kama hajafukuzwa chama na Dr.Slaa pamoja na wewe mpambe wake, mgombea urais wa maisha Chadema ni Dr.Slaa.

Namshangaa sanw huyu jamaa anaishabikia cdm halafu hajui sera yake isiyokuwa kwenye kwenye maandishinambayo hutumiww na mbowe na slaa pekee pamoja na wazee.
 
Namshangaa sanw huyu jamaa anaishabikia cdm halafu hajui sera yake isiyokuwa kwenye kwenye maandishinambayo hutumiww na mbowe na slaa pekee pamoja na wazee.
Kamanda wa Singida anataka kubeep Kaskazini.
 
Naona sasa Tanzania imeamua kugeuzwa 'KAOLE SANAA GROUP'
Yani ata mwenda wazimu nae anapigiwa debe agrrrrrrrrrrr!
 
heshima kwenu wana Jukwaa,

huyu binadamu Tundu Lisu ni hazina kwe taifa hili, napendekeza TUMUOMBE agombee uraisi 2015.

- ana busara
- ana ona mbali
- ana akili ya kufikiri
- ni msomi wa kweli
- ameonesha kwa vitendo kuwa anaipenda na kuitetea Tanzania na watu wake
- Si mbinafsi
- Anajua sheria na ataweza kutoondoa kwenye Mikataba mibovu inayosainiwa na Madokta na Maprofesa wa CCM
- Atasaidia chadema kujiosha na propaganda za ukanda

inabidi niache tu kuandika sifa za huyu kiumbe TUNDU LISU maana naweza kuendelea mpaka kesho

Mimi napenda sana mambo yake huyu mtu.

Tundulisu? Hata mimi naunga mkono hoja.
 
Kutokana na umahiri wake wa kuhimili mikikimikiki ndani ya chama na uwezo wake wa kukisimamia chama pamoja na makada wake kwenye matatizo,huyu jamaa anafaa sana kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama ktk uchaguzi ujao wa viongozi wa chadema.Haya,msiopenda ukweli na mliojaa unafiki toeni povu,ha ha haaa
 
Hayo mambo ya povu yametoka wapi tena? Au hujiamini mkuu? Labda pengine kuna jambo umelikusudia! Ulianza vizuri umeharibu mwishoni. Nadhani hayo ni maono na mtazamo wako wala hakuna shida hata kidogo.
 
Tundu Lissu ana vipawa vingi na priorities tofauti sana...hapiness yake ipo ktk kufanikisha mambo kwa njia halali..ndio maana hakuta kibudu ktk hii kesi....

mkitaka mprogram mtajikuta mki vibrate km speaker kwani mtahama hama mkifuata results zake huku mkimponda ...pengine ungeomba ahamie CCM ili muwe na sherhe kubwa sana km ushindi wa uraisi vile.....*anay way bado itakuwa ndogo ya Ali Nacha
 
heshima kwenu wana Jukwaa,

huyu binadamu Tundu Lisu ni hazina kwe taifa hili, napendekeza TUMUOMBE agombee uraisi 2015.

- ana busara
- ana ona mbali
- ana akili ya kufikiri
- ni msomi wa kweli
- ameonesha kwa vitendo kuwa anaipenda na kuitetea Tanzania na watu wake
- Si mbinafsi
- Anajua sheria na ataweza kutoondoa kwenye Mikataba mibovu inayosainiwa na Madokta na Maprofesa wa CCM
- Atasaidia chadema kujiosha na propaganda za ukanda

inabidi niache tu kuandika sifa za huyu kiumbe TUNDU LISU maana naweza kuendelea mpaka kesho

Mimi napenda sana mambo yake huyu mtu.

urais lazima achaguliwe na watz wengi na si kupendwa tu
 
Back
Top Bottom