Namuomba Mungu ya Mukama yasijirudie kwa Dr Bashiru Ally

Kinana alipo anachekelea, mlinyanyasa sana kipindi cha mwisho, akishauri mnamwambia hampangiwi.
Huyu Bashiru atawafaa sana kwani ccm hamnaga shukrani, vinginevyo mngewaheshimu Nape na Kinana walioteseka kukijenga chama kilicho kosa imani kwa wananchi hadi ilikuwa aibu kuvaa kijani


Bashiru ni mbigili shambani hazizuii Mwenye shamba kuchuma Mboga

Rejea historia ya Chama Au ukipenda waulize wakubwa zako waliojaribu Kwa kutumwa Au ujinga tu kutikisa Chama waliishia wapi?

Mukama Na Kolimba ni case study ukipenda

CCM ni alama ya Umoja, Historia, ushindi sio tu Tanzania bali Bara zima la Africa
 
Hapa unatetemekea Ukatibu wa Bashiru hadi unamtaja Mungu kwenye mambo ya kijinga ya chama chenu. wewe ni "Team Kujipendekeza"?
Mwenzio Mwita Waitara kajipendekeza leo yuko Tamisemi na amepiga marufuku vidimi vyenu kushinda kwenye vitindi vya ulanzi. Lowassa ameshawapa salamu zenu lakini?!
 
Back
Top Bottom