Namuomba Mungu ya Mukama yasijirudie kwa Dr Bashiru Ally

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,947
141,922
Nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM imekuwa na changamoto nyingi tokea enzi za mwalimu Nyerere na siku za karibuni ni kama changamoto zinazidi kuongezeka kwa kasi.
Katibu mkuu wa CCM ndio injini ya chama hivyo mtendaji huyo anapaswa kuwa makini sana kwa kila hatua anayochukua na anapaswa kufuata kanuni na taratibu katika kila jambo atendalo.
Mimi namkubali sana Dr Bashiru lakini kitendo cha kuwasikiliza vijana wa mtaani akina Mchange vinaweza kumtengenezea mlango wa kutokea kama ilivyokuwa kwa Mkama.
Dr Bashiru ni mjamaa lakini CCM ya leo bado imekumbatia mabepari ambao ni rahisi sana kuwatumia mchange type kukuchonganisha na kukutengenezea mlango wa kurejea The hill.
Nimeyasema haya katika roho, mbarikiwe sana katika Dunia ya leo vijana ndio wachawi siyo wazee!
 
mchawi mmoja wapo ni wewe.
unaisoma namba lakini unakifanya huoni
 
Na wewe kumbe team Membe?
 
Udsm waje kuchukua Mtu wao ana najisi Chama chetu Cha Mapinduzi

Viatu vya Comrade Abdulrahman Omar Kinanaah vinanajisiwa Na Huyu Mtoto arudishwe Udsm akaendeleze porojo za Azimio la Arusha

Bashiru ana taaluma ya Siasa hana kipaji Cha Siasa
 
Kinana alipo anachekelea, mlinyanyasa sana kipindi cha mwisho, akishauri mnamwambia hampangiwi.
Huyu Bashiru atawafaa sana kwani ccm hamnaga shukrani, vinginevyo mngewaheshimu Nape na Kinana walioteseka kukijenga chama kilicho kosa imani kwa wananchi hadi ilikuwa aibu kuvaa kijani
 
Back
Top Bottom