Jiamini mpendwa, kuna watu watu wana mapungufu ya tabia/ viungo kuliko ya kwako but still Mungu anawapa wenzao wanaomatch nao. So utapata tu na wa kwako, Jiamini tu kuwa kuna mtu ambaye atakuona "perfect" machoni pake. Kila la kheri
Tafuta pesaaaa wanawake tuko wengii kama ninyi ila pesa ndio chachee hivyo itafute kwanza. By z way nipo ila vigezo vyako sijavfikia badoo umeviweka juu saana
Tafuta pesaaaa wanawake tuko wengii kama ninyi ila pesa ndio chachee hivyo itafute kwanza. By z way nipo ila vigezo vyako sijavfikia badoo umeviweka juu saana
Jaribu kupotezea kidogo swala la mwenza. Elekeza mashambulizi kwenye kusaka fedha, ukizipata wekeza kwenye vitu vya kudumu, mfano: majumba. Baada ya hapo wenza lukuki watakufuata, na wewe utachagua mmoja utakayeona anakufaa. Kila la heri, ndugu.
Pole mkuu utampata tu wa kufanana na wewe...udomo zege imekuwa tatizo kwa baadhi ya sisi wanaume. unakuta kijana anampenda mwanamke anashindwa kumwambia anaishia kuumia rohoni na kula kwa macho. kila binadamu ana mapungufu yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.