Namuhitaji huyu

Namuhitaji huyu

Jaribu kupotezea kidogo swala la mwenza. Elekeza mashambulizi kwenye kusaka fedha, ukizipata wekeza kwenye vitu vya kudumu, mfano: majumba. Baada ya hapo wenza lukuki watakufuata, na wewe utachagua mmoja utakayeona anakufaa. Kila la heri, ndugu.
Sasa dushe linamwasha wewe unamwambia aanze kujenga majumba ili wamfuate, au unataka apige nyet,,.o? Wasio na mali pia wanahitaji migegedo.
 
Wana JF, nina issue yangu moja na naamini humu ndani, itatatuliwa. Mimi ni muhitimu wa shahada ya Sheria kutoka katika Chuo Kikuu hapa Dar.Baada ya kuhitimu, kinachofuata sasa ni kumpata mwenza wangu wa kupanga naye maisha.Tatizo kubwa ni namna ya kumpata. Nimekuwa nikihofia kumapproach mwanamke na kumueleza azima yangu kwa kuhofia kukataliwa kutokana na tatizo nililo nalo.Mimi nilipata ajali miaka ya nyuma na kunisababishia matatizo ya mguu, hivyo kwa sasa ninatembea kwa kuchechemea lakini siyo sana na situmii kifaa chochote. ninafanya shughuli zangu bila matatizo.Msemakweli ni mpenzi wa mungu, hivyo nimeamua kuwa muwazi ili kwa binti atakayekuwa tayari kuwa na mimi bila kujali tatizo nililo nalo, tuwasiliane na tuweze kupanga kwa ukamilifu.
Ninayemuhitaji ni yule mwenye umri wa kuanzia 18-27, mwembamba kiasi, kabila lolote, elimu yake kuanzia form 4,mwenye kuijua dini, na mwenye kujua maisha.

Mimi niko kwenye size ya kati, siyo mnene wala mwembamba, siyo mrefu wala mfupi na rangi yangu ya ngozi ni ya kawaida.
Kwa atakayeridhishwa na maelezo ya hapo juu, tafadhali tuwaliane kwenye No.0789080952.
Asanteni sana.

Mwanaume hata awe mlemavu wa aje, hawezi kukosa mke ili mradi tu mashine iwe inafanya kazi. Lkn kwa wanawake walemavu ni ngumu kupata mume. Wanakosa waume wanawake warembo kabisa, sembuse walemavu!
 
Wana JF, nina issue yangu moja na naamini humu ndani, itatatuliwa. Mimi ni muhitimu wa shahada ya Sheria kutoka katika Chuo Kikuu hapa Dar.Baada ya kuhitimu, kinachofuata sasa ni kumpata mwenza wangu wa kupanga naye maisha.Tatizo kubwa ni namna ya kumpata. Nimekuwa nikihofia kumapproach mwanamke na kumueleza azima yangu kwa kuhofia kukataliwa kutokana na tatizo nililo nalo.Mimi nilipata ajali miaka ya nyuma na kunisababishia matatizo ya mguu, hivyo kwa sasa ninatembea kwa kuchechemea lakini siyo sana na situmii kifaa chochote. ninafanya shughuli zangu bila matatizo.Msemakweli ni mpenzi wa mungu, hivyo nimeamua kuwa muwazi ili kwa binti atakayekuwa tayari kuwa na mimi bila kujali tatizo nililo nalo, tuwasiliane na tuweze kupanga kwa ukamilifu.
Ninayemuhitaji ni yule mwenye umri wa kuanzia 18-27, mwembamba kiasi, kabila lolote, elimu yake kuanzia form 4,mwenye kuijua dini, na mwenye kujua maisha.

Mimi niko kwenye size ya kati, siyo mnene wala mwembamba, siyo mrefu wala mfupi na rangi yangu ya ngozi ni ya kawaida.
Kwa atakayeridhishwa na maelezo ya hapo juu, tafadhali tuwaliane kwenye No.0789080952.
Asanteni sana.
Aisee ndugu hebu acha kujiona hufai, futa hizo hisia kabisa .mimi pia ni mlemavu tena natembelea gongo lakini nili mtongoza binti mmoja hiv mtaani kwetu ambaye nilihisi anaweza kuwa mke bora baadae na alikubali japo sio kwa siku moja alinizungusha kama mwezi hivi baadae akakubali na kuomba nisije kumtenda kwa amejikuta amenipenda nahapo jamaa kibao walimtokea akawatolea nje kwa uchunguzi nilioufanya. Na wakati nafukuzia siku sikuweka hisia za ulemavu, je wewe unaechechemea si afadhali kuliko mm, mapenzi ni kitu cha ajabu sana. Na epuka kutaja elimu au kazi yako mapema kwani unaweza kujiongezea uwezekano wa kupata asiye na mapenzi ya dhati kwako. Ukiona vigumu kumtamkia na umeshamuona mm nipo tayar kukusaidia. Nipo moro town.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom