Namuhisi ananitaka macho yake hunifanyia ishara zote

Namuhisi ananitaka macho yake hunifanyia ishara zote

Hiyo beki mbovu haikabi kama Vidic na Ferdinand tuu,kazi kwako kupiga goals.
 
Kula mzigo huo we usiogope hata jamaa yake akishtukia kwani we si utakua na KY hata huta umia 😉

NB: Mke wa mtu sumu
 
Sawa nakushauri baada ya kupata mambo uwe na KY jelly karibu ili jamaa usimpe taabu kufumua Donati!!
 
Hivi rais mstaafu yuko nchi?
Sijamuona kwenye tv siku nyingi
 
Last edited:
Mkuu acha kabisa wake za watu so wazuri, mi mama yangu juzi kanipigia simu kwamba kuna jamaa kijjiini kwetu kapasuliwa korodani kisa kakamatwa na mke wa mtu na huyo jamaa alikuwa mshikaji wangu kiboko wa wake za watu. Mama kanisihi sana niwaepuka wake za watu
 
mkuu, amini na kwambia wanaume wenye wivu wanashinda kuwakagua wake zao kama mwalimu wa shule ya msingi akikagua daftari akiwa zamu..
so jua ukianza kumla, wanawake hubadilika, mumewe ataanza kunoti, na kama line ya simu ka kata kataa sembuse anaye kula mkewe, akikufwatilia atakujua na atakunasa
amini na kwambia siku yako ikifika hakuna atakaye kuokoa,,,watakupiga libolo kavuu na maumivu makali utasababishiwa sehem za haja kubwa kama umepata continuous consttipation ya week 3
 
afu isitoshe mitoto mizurii ipo miiingi mjini apa
ambao hawajaolewa..
sasa zunguka ifm na udsm ..utampata kama uyo kila kitu tena slope zaid afu akiwa single na utashangaa
 
Ni mke wa mtu kila mara anazokuja kuonana na mimi hunambia mumewe anawivu sana tena sana ni vigumu kunipa namba yake ya simu juzi amenunuliwa line nyengine na mumewe atumie ile ya zaman imekatwa katwa.

Macho yake yanasema kwamba ananipenda huashiria mapenz (sex eyes) ata akiwa na safari gani hunambia nimepita hapa nikuone na kukusalimia tu nimejiiba kwa mume wangu, pia ameendelea kusisitiza yaani kila nikija huku usjali lazima ntakuja kuonana na wewe.

Pale akija hutamani nimtokee direct kwamba nampenda ili nithibitishe ninachokifikiria moyoni lakini bado nasita sita mda mwengine husema labda anapenda kunisalimia tu mda mwengine hujiambi no lazima atakuwa ananipenda sana. wakati mwengine hujiuliza kwanini bila kumuliza husema mumewe ana wivu sana tena sana na amejiiba kuja kuonana na mimi? ukweli mimi nishampenda ingawa i am not a big fun wa kuchukua wake za watu.

Naelewa ukumbi huu kuna wataalamu wa fani hizi mtanisaidia na kunishauri vya kutosha sana.

Naomba kutanguliza shukurani.
Mkuu hapo kwenye nyekundu. Weka mbali na watoto.
 
Utatafunwa makalio kijana shauri yako. Utakuwa ukiona Vaseline madukani unalia kwa uchungu maisha yako yote. MKE wa mtu sio.
 
Kaa nae mbali sana huyo tena usimzoee atakuliza, utaja jutia mkuu
 
Du ska icke älska någon annans fru. Det är dumt och farlig.
 
Last edited:

Similar Discussions

Back
Top Bottom