Mkuu usikubali kabisa
kusamehe huo mkwanja, kwanza kama mama mwenyewe ni accountant it means
naye mambo yake si mabaya kama walivyo watanzania wengi, angekuwa ni
mkulima wa jembe la mkono kule Bumbuli au Tandahimba ningekuambia
msamehe.
Otherwise include huo mkwanja kwenye Mahali kama bado hujatoa mahali,
but otherwise dai chako aisee, ndo kwanza hata kumuoa bado, ukiisamehe
hiyo jiandae kukutana na changamoto kibao mbeleni.
ujue mkuu tena huyo mchumba wako ni mzuri sana hilo zali la kumiliki ATM lingenifikia my dear sijui ingekuwaje... yaani hapo naona hajagusa kitu kabisa.... pia uache ubahili bwana ...sio fair wanaume mmeumbwa matesoo .... so relaxNi Laki tano wala hujakosea kuona...na nje nilipo sio Somalia...unaweza kutizama hapo juu upande wa kulia!..Ukitazama hii thread kwa jicho moja utakuja na comment kama hii!!
....ahhh, .....jikubalishe hasara bana, BTW hayo ni makaratasi tu...mtakatana wenyewe mbele ya safari...
Binti wa watu umemuamini na ATM card yako na acct...ya nini una panic sasa na kutaka kuharibu mambo? Learn from it....
Mkweo to be huyo, it's too early for you to show your true colours 😎
smile maisha yamekuwa magumu sana namtetea mtoa mada ameshakuambia an extended family,muelewe tu jamani sisi ni watanzania usimkosoeshemeji@mbu hiyo laki tano ni tsh au usd ... Maana sijaelewa
kama ni tsh huyu jamaaa kwenye ndoa huyu mkewe atakoma maana vitunguu tu atadai receipt.... Kweli wanaume wazuri wa kuoa hawapo
unatumia principle ya pesa makaratasi tumia yakuzoee sio .mtoa mada hajafikia hiyo advanced .mwambie labda weye mwanamume mwenzake atakuelewa. Yaani mimi nishapata picha kuwa ni mtu wa namna gani. Snowball mahusiano ni pamoja na kuforego vitu kama hivi, after all hizo pesa zilitatua tatizo ambalo lingeweza pelekea mama mkwe wako akawa behind the bars. Sacrifice kwenye mahusiano ni kitu muhimu sana!
ujue mkuu tena huyo mchumba wako ni mzuri sana hilo zali la kumiliki ATM lingenifikia my dear sijui ingekuwaje... yaani hapo naona hajagusa kitu kabisa.... pia uache ubahili bwana ...sio fair wanaume mmeumbwa matesoo .... so relax
aya bwana ila mimi namuomba mungu mwanaume bahili anipitishie mbali maana sijui kama nitaweza ....Kiukweli suala la kwamba nambana kuhusu matumizi halipo!..na mimi i made this as an experiment to test her trustfulness!..unajua kuna usemi kuwa ukitaka kumjua mtu tabia yake mpe pesa..so, that is what i did!.. conclusively, sijasema ametafuna pesa, but i wanted to be sure of whether what she is saying is true!..otherwise, bila ubahili saving haiwekeki!
Mwambie labda weye mwanamume mwenzake atakuelewa. Yaani mimi nishapata picha kuwa ni mtu wa namna gani. Snowball mahusiano ni pamoja na kuforego vitu kama hivi, after all hizo pesa zilitatua tatizo ambalo lingeweza pelekea mama mkwe wako akawa behind the bars. Sacrifice kwenye mahusiano ni kitu muhimu sana!
nimemuelewa my dear... ila ningekuwa nimemiliki iyo card mimi ...mmmh story ingekuwa nyingine hapa...hata iyo hela ya kutunza a/c sijui kama ingekuweposmile maisha yamekuwa magumu sana namtetea mtoa mada ameshakuambia an extended family,muelewe tu jamani sisi ni watanzania usimkosoe
hahahah umeniua mbavu zangu smile yani hata hiyo 5000 ungechukua dunimemuelewa my dear... ila ningekuwa nimemiliki iyo card mimi ...mmmh story ingekuwa nyingine hapa...hata iyo hela ya kutunza a/c sijui kama ingekuwepo
wala sizingetosha my dear...wewe ungeacha?hahahah umeniua mbavu zangu smile yani hata hiyo 5000 ungechukua du