Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,823
- 113,405
Sahihi kabisa nimewaza hivyo piaMinafikiri hapo tatizo ni unamwanaume ambae hana akili.
Pesa ni kitu kingine, ina kuepo na inakwisha pia.
Nafikiri mwanaume wako ni aina ya wale wavulana wavivu na hapendi kujishughulisha.
Kumuacha ama kuto kumuacha sina la kukushauri, lakini kwa dalili hizo inakupa picha kubwa ya aina ya msalaba utakao ubeba huko siku za mbele.
Wanakuelewa sasa wenzio wako busy kulelewaKulanina [emoji23][emoji23]
wanawake mnapenda sana pesa ila kuna baadhi yetu wanaume tunazingua, imagine mwanaume above 25 hajishughulishi na chochote kile kisingizio ajira hakuna. Ndio ajira hakuna ila kazi zipo hasa za nguvu ila elimu zinatufanya tuchague na kudharau kazi mwishowe umri unazidi sogea na huna muelekeo wa maisha, utadharaulika adi na kunguru.
Vijana tujishughulishe na kama haiwezekan kujishughulisha ni mwiko kumlilia shida mwanamke ni kujichimbia shimo.
Tusiogope kutafuta hela kwnye mazingira ya dharau maana kukosa hela n dharau tosha.
Uhalisia ndio huo, ni ngumu kuelewa lakini ndio ukweli ulivyo wengi tunabaki kusema one day yes one day yes na hatuoneshi juhudi zozote za kujituma kutafuta hela, kweli one day yes tutabaki na hali zetu ngumu.Wanakuelewa sasa wenzio wako busy kulelewa
Basi polePsycho
Ndio hao wanaume mizigo ambao wengi wanajificha kwenye kivuli cha wanawake wanapenda pesa. Mwanaume mzima anakosa hata buku mfukoni na anaona ni sawa tu wala haoni wivu kwa wenzie wanaochangamka wapate chochote kitu. Vijana wa kiume sijui wana shida gani siku hiziKulanina ππ
wanawake mnapenda sana pesa ila kuna baadhi yetu wanaume tunazingua, imagine mwanaume above 25 hajishughulishi na chochote kile kisingizio ajira hakuna. Ndio ajira hakuna ila kazi zipo hasa za nguvu ila elimu zinatufanya tuchague na kudharau kazi mwishowe umri unazidi sogea na huna muelekeo wa maisha, utadharaulika adi na kunguru.
Vijana tujishughulishe na kama haiwezekan kujishughulisha ni mwiko kumlilia shida mwanamke ni kujichimbia shimo.
Tusiogope kutafuta hela kwnye mazingira ya dharau maana kukosa hela n dharau tosha.
Em muulizeni, kama wapenzi wake wa nyuma anasema walikuwa na mkwanja, ilikuwaje sasa wakaachana???
Ni changamoto mno wapo wengi tu mtaani, wengine ukiwashirikisha mishe mishe hawatak wanachagua kazi. Mtu anashinda ndani siku nzima alafu anategemea apate kazi kweli?Ndio hao wanaume mizigo ambao wengi wanajificha kwenye kivuli cha wanawake wanapenda pesa. Mwanaume mzima anakosa hata buku mfukoni na anaona ni sawa tu wala haoni wivu kwa wenzie wanaochangamka wapate chochote kitu. Vijana wa kiume sijui wana shida gani siku hizi
Wanawake si mnasemaga ""no one is perfect"" hasa hasa pale tunapo wa bananisha sasa hapa tuna kushauri nini zaidi ya kukuambia acha kutafuta wanaume wenye hela maana utakuja ulie na kujutia sana.Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.
Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?
Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.
Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Wewe ridhika tu na U- handsome wake! Pesa nenda katafute kwa mwanaume mwingine. Mwanaume mmoja hawezi kukupa kila kitu unachokitakaYaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.
Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?
Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.
Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Kama kakujibu ntagAs long as wewe unaweza kujihudumia mwenyewe kuna shida gani?
Wewe umeingia nae kwenye mapenzi kisa pesa au upate uroda... Ukiona unataka kujitoa kwenye mahusiano kisa mwenzako hana pesa, basi huenda ulijiegesha tu kwake hili kuondoa upweke, hakukuwa na mapenzi ya dhati kati yenu. Mtu ukiwa una mpenda mara nyingi inakuwa ni unconditionally love, hakuna hayo mambo sijui hana pesa, sijui hana hiki.
Na siku zote mpenzi wa kweli ni yule ambaye atakayeweza kukuvumilia wakati wa shida, huyo ambae hauna kazi au pesa anataka kukukimbia vipi ukipata ulemavu au changamoto ya kimaisha?
Huu nao ni ushauri,ndio kwamba figa moja haliivishi chakula eeeh[emoji3][emoji3][emoji3] atatumika sana adi sehemu zake ziwake motoWewe ridhika tu na U- handsome wake! Pesa nenda katafute kwa mwanaume mwingine. Mwanaume mmoja hawezi kukupa kila kitu unachokitaka
ππ kaoge kwenu sina helaHapana umekosea kuna kitu kinaitwa kuchoka ni hilo tu unapigwa miti kioa daily na umekuja mwenyewe nanauli yako unaondoka nanauli yako kila kitu unafanya mwenyewe . Hii ni mbaya sana atleast akununulie viepe yaani ukienda kwake anakupiga miti tu hajui chakula wala maji hata sabuni anakuambia siukaoge kwenu sina hela . Maisha sio hivyo maisha nikujaliana bhana
Nani aje kwakoππ kaoge kwenu sina hela
ππNani aje kwako
Wanawake wengi wakiswahili mapenzi kwao ni biashara, yeye ana kipato chake na huyo mpenzi wake amuombi pesa sasa shida ipo wapi hapo.As long as wewe unaweza kujihudumia mwenyewe kuna shida gani?