Namuacha shemeji yenu!

Kilichopo hapa shost alitaka vyote uhandsome na hela, hajui ni mara chache sana kumkuta handsome halafu akawa ana hela... na huyo handsome alitaka kuhudumiwa na shosti baada ya kumuona anakijikazi chake....

'Aliyeuza cheni kauza cheni bandia na aliyenunua cheni katoa pesa bandia'
 
Una tamaa humfai muache tu atapata atakayemjali. Ulikuwa naye kimaslahi tu, tamaa mbaya. Mwanaume anaweza kuishi na mwanamke asiye na pesa kwa muda wote ila mwanamke hawezi hata kidogo kuishi na mwanaume asiye na pesa. We sepa tu
 
Wee mdada unaita mwanaume uchafu? Thamani ya 'k' yako inatoka kwa huyo!
Wanawake wa sasa wanatanguliza pesa mbele wakati yeye alipo hana hela zaidi ya mwili wake.
Baba yake na mama yake utakuta wapo kijijini porini huko wanalima ila akija mjini anajifanya anajua hela sana
Mwisho wa siku huishia kujiuza, kupata magonjwa na kuzalishwa.
Hawa wanawake wa siku hizi wamejawa na tamaa sana ya hela
 
Wanawake huwa wanawaza mapenzi na kupokea pesa tu. Ndiyo maana ukiangalia sasa ndoa zimekuwa ngumu sana.
Sisi wanaume huwa tofauti sana, unaweza kuishi hata mwanamke ameishia darasa la 7 au ana tabia zisizoeleweka lkn ukamtengeneza akawa mke bora.
 
Mpe wewe pesa sasa mbona sisi wanaume 90% tunawahudumia kwa kila kitu wanawake msio na kazi mnashinda kwenye instagram na hata vitumbua hamtaki kupika?

Wanaweke nyie huwa ni wabinafsi sana hivi mnafikiri hela ya mwanaume inaokotwa eeh? Kama wewe una kazi muhudie ndio ujue wanaume huwa tunastahili heshima……hivi huwa mnafikiri ni rahisi?
Maana kama hoja ni mapenzi sote tunapeana kwa hiyo kama kulipisha haipaswi kulipishana lakini sisi tunalipa zaidi na zaidi!

Kwa hiyo wanawake mtuheshimu sio rahisi kuhudumia inahitaji moyo wa upendo na kujitoa!

Kama unampenda muhudumie maana sisi huwa tunatoa huduma hizo kila leo kwenu na tumezoea…
Yani huwa tunawapa vocha ya sms,muda wa maongezi,Data,kusuka na kila kitu na mmekaa nyumbani tuu…
 
Cold water=Maji baridi Tena baridi hasa. Kama shida ni pesa na unapenda pesa basi ulitakiwa ku-fall in love na benki. Muache mtoto wa watu kwenda anzisha mahusiano na benki au mgodi wa dhahabu au madawa ya kulevya.
 
Umaskini haudumu kipenzi,, mvumilie ila uwe unamsisitiza atafute kazi ya kufanya. Au kama kipato chako kinaruhusu unaweza ukampa mtaji kidogo aanzishe hata kibiashara walau cha kumpa hela ya kula na vocha aache kutia huruma..
Kingine epuka sana tamaa, jaribu kuridhika na unachokipata wala huwezi kumuona mpenzi wako kama mzigo
 
Mbn yeye kashakuacha kitambo bila kukwambia, km ulikua hujui mm ndio nakujuza,
 
Huyo sio shemeji yetu. Acha kupotezeana muda na kijana wa watu.
 
Chomelea🖕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…