Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,471
Wee mdada unaita mwanaume uchafu? Thamani ya 'k' yako inatoka kwa huyo!Shoga Kwa nn hukuhudhuria kikao Cha Wana wake??? Tulikubaliana mwanaume masking apendwe na mama yake na dada zake....huo uhandsome unasaidia nn ikiwa hata vocha Hana??? Tupa uchafu huo
Kuwa na hela inategemea zaidi "status " ya uliyenaye.Ila mwanaume asiye na hela ni mzigo. Kua na hela haimaanishi uwe nazo kama za gsm au bakhresa.
Sasa mtu hana hela hata ya kuweka vocha ya kupiga kweli.Taja kiwango na mimi nijipime maana angalau hela ya wese na kuzugia vipapatio vya kuku si haba
Wa size yake yupi? Mwanaume kutokua na hela ni aibu. Wanaume wengine wanafanya kazi za ajabu ili mradi awe na kitu mfukoni. Mwanaume kusema huna hela kila wakati haipendeziKuwa na hela inategemea zaidi "status " ya uliyenaye.
Kwa mfano huyo mwanaume aliyetajwa angetafuta wa size yake tusingesikia haya.
KILA MBUZI ALE KWA UREFU WA KAMBA YAKE
Tatizo lako umegeuza mapenzi kama kitega uchumi, halafu ni kosa kubwa sana unafanya la kumlinganisha mwanaume wako wa sasa na wazamani.Huo ni umalaya.Namsikitikia mwanaume mwenzangu kwa kuoa malaya.Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.
Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?
Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.
Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Weee, unataka kumlengesha mdogo wangu kausha damu🤣🤣
😂Afu anatokea mtu anataka massage zipigwe marufukuHawa ndio wanawake wa dar sasa
Nyieee majobless hawaachikagi kirahisi mjue....hapo mwanaume anaoga kutwa mara tatu, msafi anang'aa...na hivo anakaa Kwa dada anadowea pafyumu ya Shemeji ananukia....yaani anafaa Kwa maonesho ya kuringishia mashost🤣🤣🤣Muache harakaaa, ukibeba mimba yake tu umekwishaaaaa
Uhandsome si aturingishie mashost 🤣🤣🤣Shoga Kwa nn hukuhudhuria kikao Cha Wana wake??? Tulikubaliana mwanaume masking apendwe na mama yake na dada zake....huo uhandsome unasaidia nn ikiwa hata vocha Hana??? Tupa uchafu huo
Hapo nakubaliana na wewe lazima mwanaume afanye kazi yoyote inayomuingizia kipato (halali), ila tukubaliane kuwa kuna levels kumhudumia Mobetto Siyo sawa na kumhudumia EbitokeWa size yake yupi? Mwanaume kutokua na hela ni aibu. Wanaume wengine wanafanya kazi za ajabu ili mradi awe na kitu mfukoni. Mwanaume kusema huna hela kila wakati haipendezi
Mvumilie bhn atawini soon tuYaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.
Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?
Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.
Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Kwan lzm mpigiane simu mbn text znatosha [emoji3]Sasa mtu hana hela hata ya kuweka vocha ya kupiga kweli.