Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
Bila kupoteza muda napenda kuwasalimu ndugu jamaa na marafiki mnaosoma Uzi huu mfupi.
Nimekuwa nikikutana na huyu msichana mara Kwa mara maeneo ya chuoni. Ni mweusi havutii Sana.Kila nikikutana naye anapenda kuropoka maneno kama "Njoo twende geto" "Njoo tulale".Anavyokuwa anaongea haya maneno mara nyingi anakuwa na marafiki zake.
Mimi Huwa nakaa kimya maana sipendi kuongea vitu vya style hiyo mbele za wanawake Kwa maana hawakawii kukutangaza vibaya chuoni.
Juzi Kati kutokana na njaa ya mbususu Nikasema ngoja nimtongoze.Nimemfuata chumbanj kwake nikijua ni simple kutokana na Yale maneno anayosemaga Kila wakati "Njoo tulale".
Nimefunguka yaliyo moyoni japo ni uwongo lakini akanichomolea na kuanza kunicheka.Pia alinipa maneno ya kebehi na dharau ya kuonyesha Kwamba nimeongea upuuzi wa hali ya juu mbele zake na kuniuliza maswali ya kipuuzi yenye malengo ya kunionyesha nilikuwa nimefanya ujinga .
Kwa kweli najutia na nimeapa SITAdhubutu kwenda direct Tena. Nilikaa siku mbili nikasahau maumivu yake na hasira zikaisha.Lakini nilivyokuwa nakutana naye mara Kwa mara nilikuwa simshobokei Wala kumsalimia .
Baadaye nikaanza Tena kujishobokesha kwake nikiwa na matumaini ya mbususu.Akawa ananiambia ninulie hiki ,ninunulie kile.Nilikuwa sinunui maana alikuwa anaomba kama ananiforce.
Jana nikajishobokesha kwake kumwambia kwenye SMS baadaye twende tukale akaniuliza wapi Tena rafiki yangu nikamwambia Chagua wewe unapotaka.Message ilifika lakini haikujibiwa.
Nasisitizia sio msichana mzuri ni WA kawaida Sana sura kama ya Tom Boy. Dinner ikapita ila nilichoona ni kwamba kumbe sio simple kama nilivyokuwa nafikiri mwanzoni alikuwa ananishobokea nilipoanza kumshobokea kaniona kama Taka taka.