Cha msingi umalize haja zako utamu ule ule tu haijalishi suraUnaogopa kutangazwa unakula mali mbovu [emoji28] [emoji28]
Hapo unapambana na nature,usipoangalia utanunua Sumu kwa kujipimia,ogopa cheap shot,huyo ukiingia hutoki atakuweka kwenye chupa walahiBIla kupoteza muda napenda kuwasalimu ndugu jamaa na marafiki mnaosoma Uzi huu mfupi.
Nimekuwa nikikutana na huyu msichana mara Kwa mara maeneo ya chuoni.Ni mweusi havutii Sana.Kila nikikutana naye anapenda kuropoka maneno kama "Njoo twende geto" "Njoo tulale".Anavyokuwa anaongea haya maneno mara nyingi anakuwa na marafiki zake.Mimi Huwa nakaa kimya maana sipendi kuongea vitu vya style hiyo mbele za wanawake Kwa maana hawakawii kukutangaza vibaya chuoni.
Juzi Kati kutokana na njaa ya mbususu Nikasema ngoja nimtongoze.Nimemfuata chumbanj kwake nikijua ni simple kutokana na Yale maneno anayosemaga Kila wakati "Njoo tulale".Nimefunguka yaliyo moyoni japo ni uwongo lakini akanichomolea na kuanza kunicheka.Pia alinipa maneno ya kebehi na dharau ya kuonyesha Kwamba nimeongea upuuzi wa hali ya juu mbele zake na kuniuliza maswali ya kipuuzi yenye malengo ya kunionyesha nilikuwa nimefanya ujinga .
Kwa kweli najutia na nimeapa SITAdhubutu kwenda direct Tena.Nilikaa siku mbili nikasahau maumivu yake na hasira zikaisha.Lakini nilivyokuwa nakutana naye mara Kwa mara nilikuwa simshobokei Wala kumsalimia .
Baadaye nikaanza Tena kujishobokesha kwake nikiwa na matumaini ya mbususu.Akawa ananiambia ninulie hiki ,ninunulie kile.Nilikuwa sinunui maana alikuwa anaomba kama ananiforce.
Jana nikajishobokesha kwake kumwambia kwenye SMS baadaye twende tukale akaniuliza wapi Tena rafiki yangu nikamwambia Chagua wewe unapotaka.Message ilifika lakini haikujibiwa.
Nasisitizia sio msichana mzuri ni WA kawaida Sana sura kama ya Tom Boy.Dinner ikapita ila nilichoona ni kwamba kumbe sio simple kama nilivyokuwa nafikiri mwanzoni alikuwa ananishobokea nilipoanza kumshobokea kaniona kama Taka taka.
Kwahiyo kapokea muujizaHaha brother kinachosikitisha alikuwa anakushobokea Sana baadaye anabadilika kama muujiza
[emoji38][emoji38][emoji38]Daaah Hawa WAZEE wanavyoviimba ni tofauti na walichokuwa wanakifanyaSikiliza hiyoView attachment 2481076
Nashindwa kuelewaKwahiyo kapokea muujiza
Kaa mbali na tomboy nimekwambia mapema,sura kama ya Tom Boy
Mtoa mada utoro umezidi[emoji38]Kwenye kikao cha wanaume tulikubaliana hamna kushobokea manzi
Haya ndo madhara ya kutohurudhuria vikao
Yan wazee wa 25+ unasemaje wako kwa foolish age?Usijilaumu sana.
Bado uko chuoni...
Na wanawake hawaeleweki hata siku moja...
Na ukimshobokea mwanamke ndo mwanzo wa kujidharaulisha - hasa wakiwa bado kwenye foolish age yao (19 -27).
Huyo bila shaka kakuona huna lo lote kwake. Labda pesa huna au mwonekano wako. Au anaweza kuwa ana-play hard to get. Hawaeleweki na hata wao wenyewe hawajui wanataka nini yaani.
Ni kwenda nao kwa tahadhari hivyo hivyo.
Pole!
Ameshapata funzo hatorudia kuwa mtoro[emoji2]Mtoa mada utoro umezidi[emoji38]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2958]Mtoa mada utoro umezidi[emoji38]
Kumbe wakurya ndivyo walivyoBila shaka Atakua mkurya uyo[emoji4]
25 bado ni foolish age.Yan wazee wa 25+ unasemaje wako kwa foolish age?
Hao viumbe:mura acha kabisaBila shaka Atakua mkurya uyo[emoji4]
Mpunguze shobo za kijinga, me demu adi nimtongoze niwe na viashiria vya 100% kuwa nitamla.BIla kupoteza muda napenda kuwasalimu ndugu jamaa na marafiki mnaosoma Uzi huu mfupi.
Nimekuwa nikikutana na huyu msichana mara Kwa mara maeneo ya chuoni.Ni mweusi havutii Sana.Kila nikikutana naye anapenda kuropoka maneno kama "Njoo twende geto" "Njoo tulale".Anavyokuwa anaongea haya maneno mara nyingi anakuwa na marafiki zake.
Mimi Huwa nakaa kimya maana sipendi kuongea vitu vya style hiyo mbele za wanawake Kwa maana hawakawii kukutangaza vibaya chuoni.
Juzi Kati kutokana na njaa ya mbususu Nikasema ngoja nimtongoze.Nimemfuata chumbanj kwake nikijua ni simple kutokana na Yale maneno anayosemaga Kila wakati "Njoo tulale".
Nimefunguka yaliyo moyoni japo ni uwongo lakini akanichomolea na kuanza kunicheka.Pia alinipa maneno ya kebehi na dharau ya kuonyesha Kwamba nimeongea upuuzi wa hali ya juu mbele zake na kuniuliza maswali ya kipuuzi yenye malengo ya kunionyesha nilikuwa nimefanya ujinga .
Kwa kweli najutia na nimeapa SITAdhubutu kwenda direct Tena. Nilikaa siku mbili nikasahau maumivu yake na hasira zikaisha.Lakini nilivyokuwa nakutana naye mara Kwa mara nilikuwa simshobokei Wala kumsalimia .
Baadaye nikaanza Tena kujishobokesha kwake nikiwa na matumaini ya mbususu.Akawa ananiambia ninulie hiki ,ninunulie kile.Nilikuwa sinunui maana alikuwa anaomba kama ananiforce.
Jana nikajishobokesha kwake kumwambia kwenye SMS baadaye twende tukale akaniuliza wapi Tena rafiki yangu nikamwambia Chagua wewe unapotaka.Message ilifika lakini haikujibiwa.
Nasisitizia sio msichana mzuri ni WA kawaida Sana sura kama ya Tom Boy. Dinner ikapita ila nilichoona ni kwamba kumbe sio simple kama nilivyokuwa nafikiri mwanzoni alikuwa ananishobokea nilipoanza kumshobokea kaniona kama Taka taka.
Nimetoka kusoma Uzi wa kutowashobokea hao ndyo nikagundua utawapata kirahisi ngoja sasa Nika apply formulaMpunguze shobo za kijinga, me demu adi nimtongoze niwe na viashiria vya 100% kuwa nitamla.