Namtongoza ila haeleweki

Namtongoza ila haeleweki

Utawala sana mkuu.
Nakumbuka Kuna msichana mmoja nilimwona BARABARANI anasalimiwa na Wanangu wawili Kwa mkono Nikasema na Mimi nikifika namsalimia nilivyofika kuutoa mkono wangu shobo kama zote akaukwepa plus kuniangalia Kwa dharau utadhani anasema hii takataka nayo.Jamaa zangu wakaona wakawa wanananicheka wakiniambia huyu yupo very selective [emoji38][emoji38] .Nikacheka tu Kwa masikitiko na mimi nikawaacha waendelee na maongezi Yao.
 
Usianzishe shobo kwa hao viumbe kuwa kama huna time nao wenyewe watakufata, kuwa smart, jali mambo yako piga kazi na utanashati muda wote usipende kujichekesha kwa mademu.
 
Nilikuwa siamini siku hiyo baada ya kuletewa hayo madharau ndyo nikaamini .Alafu Kuna Hawa ambao wanakuomba Hela from no where humjui hakujui lakini anakuambia unakuaga mbahiri na Hela zako.
 
Back
Top Bottom