Namtamani bosi wangu

Umemfokea sana. Umefanya vizuri...

Lakini tukumbuke hili. Kwamba, binadamu tumeumbwa na utashi wa kuchagua. Bahati mbaya ni kubwa, tumeachana Mungu na kujielekeza kutumia utashi wetu vibaya kwa kupenda mabaya na uovu na mwisho tukaangamia...

Mauti au uzima; Laana au Baraka

Actually, kwa mawazo yake tu haya, it's evident that, this guy is not matured, ni kijana asiye na akili..

Mwacheni azame katika hisia zake mbaya na hatari hizo...

This guy winderboy amechagua MAUTI na LAANA kwake yeye na familia yake. Angekuwa na akili na ufahamu angechagua BARAKA na UZIMA ulio katika Yesu Kristo...

Mpaka hapo, Baba yake Mungu muumba sijui asaidiaje sasa maana amepewa choice mapema ili achague kilicho sahihi na salama kwake...

Lakini Unfortunately, anaelekea kuchagua kuangamiza kila kitu chake na familia yake...!

winderboy usifikiri huo uzinzi/uasherati wako unaouwaza utakuathiri wewe tu. Utaumiza na kuharibu kila kitu chako; familia yako, watoto wako, uchumi wako, fedha zako na rafiki zako...!

Haraka sana fanya retreatment. Omba Mungu akupe neema ya kuichukia dhambi hiyo ili usiitende...

Geuza macho yako. Mtazame na mpende mkeo tu kwenye eneo la ngono...

Angalia na tengeneza maisha yako. Epuka huo mtego wa Ibilisi utakaoharibu maisha yako forever...!
 
Angalia Uzi wa rikiboy utajifunza mengi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…