Nipoo bana...BUSY mpenzi...Mambo vipi lakini?
Ati yuko bize...!Loh..! Banana aliwahi kuimba kama ni mapenzi honey basi ilikuwa zamani.....mbona sasa huonekani, sikuoni hata Nyumbani....!
Haa we utakuwa second lady na MziziMkavu atafungisha ndoa!Poa nlifkiri nawe ushafanya harusi bila ya kunialika kama Heaven on earth
Haa we utakuwa second lady na MziziMkavu atafungisha ndoa!
Una papara wewe!Na bwana harusi je ndo nani tena atakua? Lol
Una papara wewe!
Wewe watafuta maneno na mm ehh!jana ulifichwa wapi na ww?Nani kamficha tena huyo mdigo mimi49?
Wewe watafuta maneno na mm ehh!jana ulifichwa wapi na ww?
Yeah mi nipo poa!Halafu wewe kakwambia nani kama mimi mdigo?mi msambaaa....Sijawahi fichwa....mzima lakini weye?