nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,067
- 15,142
Josee popote pale ulipo tafadhali tuwasiliane.
Ilikuwa ni arusha 1982-1988
tulikuwa arusha vijana road.
Tuliendesha wote baiskeli.
Tuliogelea.
Shule ulikuwa arusha school.
Sunday school--kkkt mjini kati.
Nikisikia nyimbo za madona ninakukumbuka.
Kama upo hai popote pale dunia hii.
Regards.
Ilikuwa ni arusha 1982-1988
tulikuwa arusha vijana road.
Tuliendesha wote baiskeli.
Tuliogelea.
Shule ulikuwa arusha school.
Sunday school--kkkt mjini kati.
Nikisikia nyimbo za madona ninakukumbuka.
Kama upo hai popote pale dunia hii.
Regards.