Namtafuta Nasra. Alisoma Mbezi Beach High School 2007-2009

Namtafuta Nasra. Alisoma Mbezi Beach High School 2007-2009

Maisha bwana, daah!!!! Labda waweza mpata mkuu, usikate tamaa. Vipi umeshajaribu Facebook huko wengi hutumia majina yao
Mkuu nimejaribu kila sehemu lakini sijafanikiwa. Mzima lakin mkuu
 
Hujui jina lake la pili? basi hata hilo la kwanza litakuwa umelisahau,hivi ulikuwa wapi usimtafute miaka yote hiyo? hebu achana na hayo mawazo mgando fanya mambo yatakayokuletea faida. rafiki yako wa zamani aweza kuwa rafiki yako sasa hivi? mbona hamtafanana utakuta yeye ni director of finance mahali fulani wewe una sugua soli halafu unamtafuta, baadae utaanza lalamika kwamba umedharauliwa.
 
Kuna kipindi your current situation inakubana.. vyuma vinakaza mpaka unakumbuka kumtafuta ex wako.. maisha hatari sana..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kuna mmoja nilisoma nae nimemtafuta juzijuzi hapa baada ya kupata namba yake nilipoulizia kumbe kashaolewa dah moyo ulipasuka...
 
The one that got away! Katy Perry! [emoji1][emoji1]

In another life, I would be your girl
We keep all our promises, be us against the world
In another life, I would make you stay
So I don't have to say you were the one that got away…
 
Nasra Said Mtita ameolewa na rafiki yangu....siwezi kukupa mawasiliano yake ila huwa anapita hapa jf bila shaka hata mumewe na yeye wamesha isoma thread hii.
Mkuu acha kutafuta wake za watu......
 
You need to let go wewe dogo. Sasa kazi huna, njaa kali, unanuka jasho lkn bado unamuwaza secret high-school crush wako wakati yeye alisha move on in life na wala hajui kama una exist? WTF!!
Haaa..mkuu mbona umemkalia kooni mshikaji..vipi katonesha kidonda nn?
 
Back
Top Bottom