Namtafuta Nasra. Alisoma Mbezi Beach High School 2007-2009

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,198
Habari zenu wadau..
Wadau namtafuta rafiki angu wa zamani Anaitwa Nasra. Jina lake la Pili silikumbuki. Alisoma form Five & Form Six Mbezi Beach High School mwaka 2007 mpaka 2009. Rangi ya ngozi ake ni mweusi kiasi, sio mrefu sana. Wakati ule alikuwa na umbile dogo

Kama kuna mtu humu anamfahamu naomba taarifa zake tafadhali au Kama Nasra hupo humu naomba tuwasiliane.

Mara ya kwanza tulikutana Tuition kwa Ostaz pale keko wakati huo tumemaliza Form 4 tunajiandaa kwenda form 5. Ilitokea tu tukawa marafiki sana. Mm nikachaguliwa shule ya Serikali Hapa Dar. Na ww ukaenda Mbezi Beach.

Tulikuwa tunakwenda kufanya wote Group Discussion pale Makongo Sec kila weeknd..

Kwenye hili Group la Discussion nilikutambulisha kwa kina Angel Bernard (Kwa sasa Msanii wa Gospel), Mariam, Beatrice na Monica ambao ulikuwa unasoma nao Mbezi Beach lakini mlikuwa hamfahamiani sana (Hamkuwa Marafiki)

Mara ya mwisho nilisikia umekwenda Marekani..

Tafadhali upatapo ujumbe huu naomba nitafute..
 
You need to let go wewe dogo. Sasa kazi huna, njaa kali, unanuka jasho lkn bado unamuwaza secret high-school crush wako wakati yeye alisha move on in life na wala hajui kama una exist? WTF!!
 
Waweza kukuta we unamkumbuka sana mpaka thread unamuanzishia wakati yeye kwa sasa anaishi happy life na mumewe hana hata wazo kua alishawahi kukutana na rafiki kama wewe
 
Habari zenu wadau..
Wadau namtafuta rafiki angu wa zamani Anaitwa Nasra. Jina lake la Pili silikumbuki. Alisoma form Five & Form Six Mbezi Beach High School mwaka 2007 mpaka 2009. Rangi ya ngozi ake ni mweusi kiasi, sio mrefu sana. Wakati ule alikuwa na umbile dogo

Kama kuna mtu humu anamfahamu naomba taarifa zake tafadhali au Kama Nasra hupo humu naomba tuwasiliane.

Mara ya kwanza tulikutana Tuition kwa Ostaz pale keko wakati huo tumemaliza Form 4 tunajiandaa kwenda form 5. Ilitokea tu tukawa marafiki sana. Mm nikachaguliwa shule ya Serikali Hapa Dar. Na ww ukaenda Mbezi Beach.

Tulikuwa tunakwenda kufanya wote Group Discussion pale Makongo Sec kila weeknd..

Kwenye hili Group la Discussion nilikutambulisha kwa kina Angel Bernard (Kwa sasa Msanii wa Gospel), Mariam, Beatrice na Monica ambao ulikuwa unasoma nao Mbezi Beach lakini mlikuwa hamfahamiani sana (Hamkuwa Marafiki)

Mara ya mwisho nilisikia umekwenda Marekani..

Tafadhali upatapo ujumbe huu naomba nitafute..
Wewe Jamaa mke wangu unamtafutia nini, nimezaa naye watoto wawili sitaki vurugu shauri yako, nitakutoa utifi
 
Back
Top Bottom