Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Hii gari nimeambiwa inauzwa mmiliki nimeambiwa ni mdada anakaa dar na gari IPO Dodoma kwa sasa mwenye kumjua tafadhali anisaidie
Tangazo uliliona wapi mkuu? Kama kwenye groups za wauza magari fb au insta ungeulizia hukoHii gari nimeambiwa inauzwa mmiliki nimeambiwa ni mdada anakaa dar na gari IPO Dodoma kwa sasa mwenye kumjua tafadhali anisaidieView attachment 1087465
Kwanini usimuulize huyo aliekwambia!??Hii gari nimeambiwa inauzwa mmiliki nimeambiwa ni mdada anakaa dar na gari IPO Dodoma kwa sasa mwenye kumjua tafadhali anisaidieView attachment 1087465
Anamzunguka Dalali huyuu !Kwanini usimuulize huyo aliekwambia!??
Kuzini dhambi.Vipi mkuuu unataka kumgegeda ili akupunguzie bei!??
Sio kichaa mie mpaka kuja kuuliza huku.Tangazo uliliona wapi mkuu? Kama kwenye groups za wauza magari fb au insta ungeulizia huko
Teeh[emoji23][emoji3]Kuzini dhambi.
Kwani dalali analipwa sh ngapi ? Nimzunguke mtu kwa sababu ya laki mbili? Acha kuropoka ujinga shenzi.Tabia za kuwazunguka madalali zitakucost.
Kwanini usimuulize huyo aliekwambia!??
Haijawai kutokeaAnamzunguka Dalali huyuu !
Hii gari nimeambiwa inauzwa mmiliki nimeambiwa ni mdada anakaa dar na gari IPO Dodoma kwa sasa mwenye kumjua tafadhali anisaidieView attachment 1087465
Kwa hiyo unataka tujue kuwa unataka kununua gari au ni nini?
Hizi tabia za kimaskini hizi waafrika tuziachage.
Sasa kwa nini usimalizane na huyo aliekuambia mkubwa
Simpati kwenye simu siku
mbona jazba mkuu tatizo lenu madalali bhana.............. aaaaarg!!!!!!!!!!!!Sio kichaa mie mpaka kuja kuuliza huku.
mkuuu kwa nn huwi na busara mtu mzimaa? Huyu jamaaa mbn katumia lugha nzuri tuuu,Sio kichaa mie mpaka kuja kuuliza huku.