Namtafuta mume wangu humu!!!

Namtafuta mume wangu humu!!!

mbona waguna Le Doctor. nimemiss mapenzi yake muda wote JF aaah basi atenge muda japo kidogo na familia yake jamani
 
niko nae hapa......

lleo kasema atakuja maskani,
uachetaia ya kumtafuta hum ndani
 
Tangu ujoini 2009 hadi leo unapost tatu (3) tu?? Utakua mvivu hata kwenye ndoa na utakua una tabia ya kupenda na kuchukia upesi....kisha baadae kupenda tena, tabia ambayo sio nzuri. Ukikosa wote cheki na mimi
ha haaa, makavu live......
sasa kwa mke mvivu kama huyu kwa nini asije huku kukwapuliwa na akina fulani? lol!
 
Jf ndio maskani yake. Nimekumiss

Huu uvivu wako ndio unamkimbiza mume wako asikae nyumbani, hebu angalia tangu mwaka 2009 una post ngapi. Kama uvivu huu upo hadi nyumbani, mume akae nyembani ili afanye nini.
 
Tangu ujoini 2009 hadi leo unapost tatu (3) tu?? Utakua mvivu hata kwenye ndoa na utakua una tabia ya kupenda na kuchukia upesi....kisha baadae kupenda tena, tabia ambayo sio nzuri. Ukikosa wote cheki na mimi
Elli umenichekeshaje......
uko tayar kuvumilia hizo shida ulizozimention
 
Last edited by a moderator:
Nipo mamitto..tatizo weye naye umezidisha kununa nuna, ila kwa kujitokeza kwako hapa ntarudisha majeshi home...usiogope

Nimekutumia PM , isome yoote halafu niambie ni zawadi gani leo nikuleteee,,,
 
Back
Top Bottom