Huna hata namba yake ya simu?
Jf ndio maskani yake. Nimekumiss
Tangu ujoini 2009 hadi leo unapost tatu (3) tu?? Utakua mvivu hata kwenye ndoa na utakua una tabia ya kupenda na kuchukia upesi....kisha baadae kupenda tena, tabia ambayo sio nzuri. Ukikosa wote cheki na mimi
Hii ina maana kwamba on average amekuwa anatuma one post after every two years, so expect the next post in year 2015.Jesus Christ...!