afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,153
- 9,270
Hee! hii si namba ya customer care TIGO hahaha!
hahahahah looh
uporoto umeua kabisa..
Anyway nimekuweke pics..
samahani kwa kuchelewesha
take care for now ..🙂
Hee! hii si namba ya customer care TIGO hahaha!
unalijua gono?au ulimaanisha ngono?Fikra za gono kila kukicha,then unalalamika maisha magumu.Mbona hutafute mtu wa hekima na busara wa kuchati naye ?
nenda facebook kwa mabroilerkama kawaida wana jf mimi ni a boy and am lookng 4 a girl to who i will share my views of life spheres!