Namtafuta Morega Simon Mongate

Namtafuta Morega Simon Mongate

Zee Korofi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
1,604
Reaction score
1,440
Jamani ninamtafuta huyu mtu, kuna anayemfahamu?

Nina shida naye.

Ni shida ya kawaida tu.

Nina maswali yangu nahitaji kumuuliza.
 
Nenda

Nenda hospital ya Dr mzena underground facility utamkuta.
 
Huyu mtu was my second master pale mara secondary school.
Nilisikia alihamishiwa ndanda secondary kuwa headmaster.
Kwa kweli huyu jamaa huwa namfananisha na jiwe.
nimuwajibikaji,hapendi uzembe wa kijinga.
Naskia kaituliza ndanda kwa sasa.
 
Huyu mwamba ni mbabe sana akiwa kiongozi wako maana anajiita mzee wa kanuni na taratibu. Anataka moja iwe moja hataki konakona hata chembe.

Wakati akiwa mkuu Ndanda high school walimu na wanafunzi walikuwa wanabanwa mbavu kisawasawa. Hata huko kanda ya ziwa alikopelekwa kuwa Afisa Elimu nako walioko chini wanajua nini maana ya kufuata kanuni na miongozo.

"SIJAWAHI ONA MKUU WA SHULE ANAYEPENDA USAFI KWA VITENDO ZAIDI YA MONGATE KWA HAPA TANZANIA"
 
Mkuu nahisi Kuna mengi kumuhusu unaweza kutuambia kwa tusiomfahamu
 
Huyu mwamba ni mbabe sana akiwa kiongozi wako maana anajiita mzee wa kanuni na taratibu. Anataka moja iwe moja hataki konakona hata chembe.

Wakati akiwa mkuu Ndanda high school walimu na wanafunzi walikuwa wanabanwa mbavu kisawasawa. Hata huko kanda ya ziwa alikopelekwa kuwa Afisa Elimu nako walioko chini wanajua nini maana ya kufuata kanuni na miongozo.

"SIJAWAHI ONA MKUU WA SHULE ANAYEPENDA USAFI KWA VITENDO ZAIDI YA MONGATE KWA HAPA TANZANIA"
Sema jamaa flani poa sana,kipindi niko mara secondary niliumwa afu nikawa sina hata mia,jamaa akanipa 60k.
 
Huyu mwamba ni mbabe sana akiwa kiongozi wako maana anajiita mzee wa kanuni na taratibu. Anataka moja iwe moja hataki konakona hata chembe.

Wakati akiwa mkuu Ndanda high school walimu na wanafunzi walikuwa wanabanwa mbavu kisawasawa. Hata huko kanda ya ziwa alikopelekwa kuwa Afisa Elimu nako walioko chini wanajua nini maana ya kufuata kanuni na miongozo.

"SIJAWAHI ONA MKUU WA SHULE ANAYEPENDA USAFI KWA VITENDO ZAIDI YA MONGATE KWA HAPA TANZANIA"
Ulisoma Ndanda?
 
Back
Top Bottom