Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,920
- 31,627
Baadhi tunajuana tunawasiliana.Sasa jf staff wanajuaje mpaka wanakupiga hiyo badge...
Mtu unayemfahamu akifa ukitoa taarifa hapa JF uongozi unaweka hiyo R.I.P.
Mfano dada yetu Valentina alikuwa mtu wa watu alikutana na member wengi humu JF.
Personally nilibahatika kuwasiliana naye.