Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,680
Kuna members wengi tunafahamiana kwa sura na kuwasiliana kwa ukaribu so ikitokea mtu kafa ni rahisi kuwajulisha jf.Sasa jf staff wanajuaje mpaka wanakupiga hiyo badge...
Kuna members wengi tunafahamiana kwa sura na kuwasiliana kwa ukaribu so ikitokea mtu kafa ni rahisi kuwajulisha jf.Sasa jf staff wanajuaje mpaka wanakupiga hiyo badge...
Wengine huku mkuu... unajikuta karibu mji mzima umo member 1 tu jf wengine ni online tuKuna members wengi tunafahamiana kwa sura na kuwasiliana kwa ukaribu so ikitokea mtu kafa ni rahisi kuwajulisha jf.
Sasa ww si bado member mpya au ID yako ya zamani umesahau password? Ukishakua mkongwe utafahamiana tu na watu kwa sura.Wengine huku mkuu... unajikuta karibu mji mzima umo member 1 tu jf wengine ni online tu
May be maana ndo kama 2 months tangu ni join...Sasa ww si bado member mpya au ID yako ya zamani umesahau password? Ukishakua mkongwe utafahamiana tu na watu kwa sura.
Hii ya Zitto na JK mbona nilipitwa ilikuwa inasemaje?Mara Zitto kabwe na JK
Wangari naye akayayuka lakini nasikia yupo na new idHapana
Nimemmisi Wangari Maathai
😂 😂 😂Wangari naye akayayuka lakini nasikia yupo na new id
Happy Sunday Wakuu
Namtafuta member wa zamani Sana humu jamvini alikuwa anaitwa Deception wale wakongwe nadhani mnaweza mkumbuka
Miaka 12 iliyopita alikuwaga active Sana
Mwenye taarifa zake tafadhali
SummarizeHuyu jamaa alisomwa na client wangu fulani wa kaugonjwa ketu ,wacha huyo client siku yake ya kumpa tuharagwe twake ifike simuoni ng'o ,piga simu hapokei .
Nikamtimbia masikani kwake ,mwamba ananipa mahoja makubwa makubwa ila namuelewesha wapi badaye sana baada ya kuona nimekaza eti ananiuliza unaijua JF wewe ? Nikasema hapana siijui ,ndiyo kuanza kunipa mkanda wa huyo bwana na mahoja yake nikajifanya sijui lolote .
Nikamtimbia bwana Deception ,PM ili nimchambe amteme client wangu naye akajikuta keki hakuna kujibu hoja zangu nikakausha ila sasa ni mwaka na mwezi sita client wangu ametangulia kwenye safari yetu 😪
SawaSummarize
Kwa nilivyomuelewagaHuyu jamaa alisomwa na client wangu fulani wa kaugonjwa ketu ,wacha huyo client siku yake ya kumpa tuharagwe twake ifike simuoni ng'o ,piga simu hapokei .
Nikamtimbia masikani kwake ,mwamba ananipa mahoja makubwa makubwa ila namuelewesha wapi badaye sana baada ya kuona nimekaza eti ananiuliza unaijua JF wewe ? Nikasema hapana siijui ,ndiyo kuanza kunipa mkanda wa huyo bwana na mahoja yake nikajifanya sijui lolote .
Nikamtimbia bwana Deception ,PM ili nimchambe amteme client wangu naye akajikuta keki hakuna kujibu hoja zangu nikakausha ila sasa ni mwaka na mwezi sita client wangu ametangulia kwenye safari yetu 😪
Boss ,achana na hekaya za Deception njoo tunywe ARV tusogeze siku dadaKwa nilivyomuelewaga
Kama umeshaanza kutumia dawa inakuwa changamoto
Lakini kama bado hujaanza inakuwa angalau