Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,046
- 11,935
Wanaogopa kuchukuliwa na Faustiniii😂😂Halafu sijui kwanini mtu akiwa nje ya JF akiulizwa kuhusu JF anasema haijui au hatumii 😆😆😆
Wanaogopa kuchukuliwa na Faustiniii😂😂Halafu sijui kwanini mtu akiwa nje ya JF akiulizwa kuhusu JF anasema haijui au hatumii 😆😆😆
Yeah sahihiDuh... sasa id zetu wengine tunazijua wenyewe tu, labda kama kuna mwanafamilia ni mdau wa jf
Nimemkumbuka mtu.Sizani kama itapendeza nikimtag.Tumekutana humu na tunamawasiliano flani hivi.Ndio mkuu, tuna wapenzi,wafanyakazi,wateja,marafiki na jamaa humu wanaofahamiana
MhifadhiNimemkumbuka mtu.Sizani kama itapendeza nikimtag.Tumekutana humu na tunamawasiliano flani hivi.
Ni muda mchache sana tangu tuwasiliane.Mhifadhi
Amshukuru kwa namna nyingine kwa kweliKuna mtu anamtafuta Sana Sana na Mimi Ndo nilimuunganishaga nae miaka hiyo
Nahisi anataka kulipa fadhila
Kumbukumbu zangu zinaniambia hivi, kweli tena.Mhhh.... halafu kuna id zina badge ya R.I.P
Ngoja nijaribu kutafuta, ila kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo, labda niwe nachanganya IDJamani, embu ni tag kwenye huo Uzi kama utaupata
Doh,Mimi mtajua Tu tena kabla hata sijazikwa mtajua na mtakuja kunizikaMimi pamoja na kuwa zaidi ya 15yrs humu nawafahamu watatu tu. Na kuna wawili wananifahamu lkn sina hakika kama ni member au wamenificha ID zao.
Dah, ayseee inawezekana maana sio kawaida embu tafutaNgoja nijaribu kutafuta, ila kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo, labda niwe nachanganya ID
Huyu ibra ijikuaje tena.Sijui hata wanajuaje ila kuna Yule Ibra pia dah aliniuma Sana Yule kaka maana alichungulia kaburi na akarudi tena halafu after siku moja Tu akafa mazima
Happy Sunday Wakuu
Namtafuta member wa zamani Sana humu jamvini alikuwa anaitwa Deception wale wakongwe nadhani mnaweza mkumbuka
Miaka 12 iliyopita alikuwaga active Sana
Mwenye taarifa zake tafadhali
Ni mimiNimemkumbuka mtu.Sizani kama itapendeza nikimtag.Tumekutana humu na tunamawasiliano flani hivi.
😂😂😂Sio wewe bhana. Ni brother flani wa Tanga,sasa wewe si jirani kabisa wa hapo mtaani,ni vile watu wa humu tunapenda privacy.Ni mimi
Mnapenda privacy wapii, id hii unajichekesha id hii una kichaa🙄😂😂😂Sio wewe bhana. Ni brother flani wa Tanga,sasa wewe si jirani kabisa wa hapo mtaani,ni vile watu wa humu tunapenda privacy.
Sawa nadhani ni kweli uliyoyaandika.Mnapenda privacy wapii, id hii unajichekesha id hii una kichaa🙄