Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,226
- 8,196
Dah...khantwe upo???Aisee ulijiunga Jf ukiwa primary?
Dah...khantwe upo???Aisee ulijiunga Jf ukiwa primary?
Id yako ya zamani ni ipi?Dah...khantwe upo???
🤣🤣🤣 Hii ID yangu ya tatuKivipi na umejoin 2017
Ndo mana namtafutaMbona hayupo active 2021
🤣🤣 Mimi najua ulijoin 2017 ukija na hiyo Id ya 2008 ndio tutaongea🤣🤣🤣 Hii ID yangu ya tatu
Nime join JF 2008
Ntakutumia pm...nakusalimia lakini long time sanaId yako ya zamani ni ipi?
PoaNtakutumia pm...nakusalimia lakini long time sana
Hahahaha unataka kufukua makaburi🤣🤣 Mimi najua ulijoin 2017 ukija na hiyo Id ya 2008 ndio tutaongea
Ila wewe bado ni mdogo sana kwangu. Hiyo 2008 uliyokuwa primary mimi nilikuwa form five 😁😁Hahahaha unataka kufukua makaburi
Hahahaha 😂 🤣 🤣 doh ayseee hivi unamkumbuka Yule wa Sweta la Tanzania naomba ni tag ule Uzi nikachekeIla wewe bado ni mdogo sana kwangu. Hiyo 2008 uliyokuwa primary mimi nilikuwa form five 😁😁
Wala simkumbuki aiseeHahahaha 😂 🤣 🤣 doh ayseee hivi unamkumbuka Yule wa Sweta la Tanzania naomba ni tag ule Uzi nikacheke
Enzi za rara moko
Hivi sweat la Tz unaijua id yake nyingine?Hahahaha 😂 🤣 🤣 doh ayseee hivi unamkumbuka Yule wa Sweta la Tanzania naomba ni tag ule Uzi nikacheke
Enzi za rara moko
Mmh bibi🤣🤣🤣 Hii ID yangu ya tatu
Nime join JF 2008
Mara Bujibuji Simba Nyamaume ID zake zikaunganishwa 🤣🤣🤣Wala simkumbuki aisee
Mara mshana na demisWala simkumbuki aisee
Mara Zitto kabwe na JKWala simkumbuki aisee