Namtafuta m'bia kwenye biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtafuta m'bia kwenye biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Alexism, Dec 28, 2011.

 1. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Wana Jf kama kuna mtu yuko tayari kufanya biashara kwa ubia(ushirikiano) katika mambo yafuatayo.BAR,SALOON,DUKA,CAFETERIA etc.
  Sehemu ya kuendeshea biashara hii ni mkoa wa Kagera-Bukoba vijijini karibu na branch ya St.Augustin University Nkindo.
  Sehemu za kutumia (nyumba/vyumba) nimeisha jenga na umeme tayari by now nimefungua grocery na sehemu ya kuenyeshea mpira kupitia Dstv ambayo nayo imeanza kufanya kazi.
  Mwenye kuwa tayari anakaribishwa na kama huko tayari ni pm.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Mkuu hongera sana kwa Ujasiriamali.

  - Mkuu mimi labda nikushauri jambo moja. Kutafuta partnina wa Biashara ni jambo linalo hitaji uangalifu wa hali ja juu mno. na ni swala gumu mno, ni sawa na kumtafuta mwanamke wa kuoa.

  - Mkuu Hili swala huwa lina hitaji umakini sana kwa sababu ukikosea hapa ni kuja kujuta baadae. Patina ni lazima awe na vigezo hivi

  1. Lazima muwe na malengo yano fanana, huwezi kuwa na partners ambaye hamfanani malengo yenu.

  2. Tabia zake

  3. Awe tiyali kutumia muda wake mwingi sana kuitumikia kampuni.

  4. Awe tiyali kutumia sehemu ya fedha zake kwa ajili ya kuendesha kampuni

  5. Muwazi,

  6. Mwenye maono ya mbali

  Mkuu mapatiners wa biashara mara nyingi hupatikana miongoni mwa watu ambao umetoka nae mbali sana unamjua tangia akiwa mdogo, amekuwa, amesoma na hata anafanya kazi au biashara unamjua.

  Mkuu ukitafuta Partner kama unavyo tafuta rafiki kwenye Facebook utakuja lia.

  - Tafuta mtu ambaye unamfahamu tangia mwanzo,

  - Hapa utapata wengi but huwezi jua lengo lake ni lipi, huweizi jua tabia zake

  1.
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  Achana na hawa watu mambo ya kulipia 140,000/= kila mwezi ni noma, mTafuta Abudhabi tv decorder na Aljazeera sports card unapata kila kitu, gharama ni kama 700,000/= + 200.000/=.
   
 4. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  Nimekutumia msg
   
 5. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Nashukuru mkuu kwa ushauri mzuri.
   
 6. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  nashukuru mkuu,vipi jinsi ya kuipata.Huku bado mbari na TZ.Kama vipi nipe maelekezo.
   
 7. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,638
  Likes Received: 1,999
  Trophy Points: 280
  asante sana mkuu,hapo ni jirani kabisa na kwa baba mkwe. Usisahau huduma za stationery...tatizo langu ni majukumu kuwa mengi tungeshirikiana. Nakutakia mafanikio mema!
  Kumbuka: Biashara ya uduma inahitaji uvumilivu katika kipindi cha awali...
   
Loading...