HA HA HA HA HA HA HA HA Babu leo, hivi mjukuu juzi alienda kukusemea kwa bibi au aliamua kukufichia siri
Mimi mfugaji...wewe wapenda?
Hahah Eti tangia Adam na EvaUkiona mwenzie anakula, basi jua ni kizuri hicho....na definishen ya undugu naikokotoa toka enzi za adam na hawa....
Ah....kumbe...issue hapa ni kushare............ orait orait sasa nimekupata.
Sasa Babu nshakukata kucha sana, nshakutengenezea ugoro kwa sana........naomba idhini yako nikamuatendi na Babu Teamo, Kaizer, The Finest au Babu Acid sasa. Si ni ndugu zako??
Na ninaomba muongozo hapa Babu Roya sio ndugu yetu?? .....kwa hiyo yeye nisimwiite Babu si ndio?.......au Babu jirani.
Hahah Eti tangia Adam na Eva
Unasahau Mama Big alisema usisubiri kukaribishwa wala kuambiwa haya chukua mie nshashiba?? Alisema kama The Finest anakula upande huu nawe anza upande wako ila usimguse mkono lol
Mimi napenda kuku wa mayai. Wewe wafuga jogoo na nini?
Laiti ungeona alivokuwa ananikonyeza..... Niliogopa kunusishwa bana, umri ushaenda huu. Tatizo mjukuu ulikuwepo, na ulivokuwa kambea habari zingefika kwa bibiyo. Na adhabu za bibiyo si wazijua lakini?
Halafu upande aliokuwa amekaa babu walikuwa wanatizamana uso kwa uso sasa babu yako kila wakati alikuwa anaagalia chini ya meza, Mama Big akaniambia hivi sasa huyu babu ndio staili yake au ndio kumuonea haya mjukuu asije maana babu alikuwa muoga sijui alijua kuwa mjukuu ataenda kumwambia bibi
Jogoo peke ake bana...hao kuku wa mayai unawafuga?
Mimi napenda kuku wa mayai. Wewe wafuga jogoo na nini?
Jogoo peke ake bana...hao kuku wa mayai unawafuga?
Nyie mbona mnazungumzia mifugo kwenye sredi ya Mama Big?
Hahahahaahhaahha usinambie Babu ulikuwa waogopa mikonyezo lol.......... hali ile alikuwa anakunywa kilimanjaro butu angekunywa therengeti au ile ya Roya ingekuwaje?....Si ungehamia dancing floor hadi aondoke? Kama nakuona babu yangu lol
Hahahaha Babu The Finest...mi nlikuwa nadhani ni mapozi tu mbele ya Mam Big..... Babu Bwana.mi nawasiwasi na fiziotherapist wa kiuno chake lol.
Sifugi. Kati ya jogoo na kuku wa mayai yupi supu yake tamu?
Hata mama big mfugo....au hujui?
Hahahaha! Kwa mujibu wa Kiranga, hili laweza kuwa tusi.
Nyie mbona mnazungumzia mifugo kwenye sredi ya Mama Big?
Well....utamu aujua mlaji....whats your opinion...
Ukiishi kwa mujibu wa Kiranga hutaishi.....
hahah Askofu alisema ulikuwa unafanyia mazoezi ya.. kwenye kiti cha ofc...............lol sasa kwa Mama Big hutakivunja tu utakiacha hapo hapo mtakapokuwa.Hahaha! Si useme tu ningetengua kiuno kwenye dancing floor lol!Mnamzungusha babu na staili zenu za ujana, mnataka aanguke mbele za watoto?
Nichinjie basi jogoo mmoja halafu ntaenda pale sokoni ninunue kuku wa mayai nimpelekee Diana anipikie supu halafu ndo uniulize "opinion" yangu.....au vipi?
NN ana hamu ya supu bana....
Nichinjie basi jogoo mmoja halafu ntaenda pale sokoni ninunue kuku wa mayai nimpelekee Diana anipikie supu halafu ndo uniulize "opinion" yangu.....au vipi?