Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,654
- 14,066
Hakika.Lucas yuko anabubujika machozi ya damu na kamasi vikitoka ngoja amalize mbubujiko atakuja na slogani mama umewauwa wengi tunaomba utupishe maana ameshafikiwa.
Hili Nchimbi Luka limemuuma sana.Lucas yupo anabubujikwa na machozi ya furaha, akisema mama anaupiga mwingi. Sema Yule jamaa Mzee wake ana hasara Sana
Hapa unamtafuta mtu mmoja.Namtafuta @Lucas Mwanshambwa, @Tlaatlaah
Watakuja kujitetea.Hapa unamtafuta mtu mmoja.
Ndio maana mara zote hutoweka pamoja na akianzisha nyuzi mmoja anakuwa wa kwanza kuja kuoike ama kujichekesha na kureply.
Hahaha,
Kwani kuna shida imejitokeza ndugu mtanzania?
wako tu sana kwenye corridor za lumumba wakimkatia abdul mauno.Hao akina Big show watalia siku Maza akiwatoka.
Hao jamaa ni kama wazazi wa mwanamke tu, wanafanya kazi na serikali yoyote iliyopo madarakani.
😂😂Kwani kuna shida imejitokeza ndugu mtanzania?
Kama kuna tatzo uliza!
secretarybird toto jinga sana wewe kuna shida? Kapge kwanza punheito