Namtafuta Lukas Mwanshambwa na wenzake

Namtafuta Lukas Mwanshambwa na wenzake

Kwahiyo unababaika na matisheti ya ccm? Matisheti yenyewe wanapewa kama ndio mshahara wao kwa kupiga domo hapa JF?

Wewe ni wa thamani sana,achana na huyo mzee atakupotezea muda tu,
Buku 7 kwa siku ndio mtaishi? Au mtakua mnashindia ndimu na chumvi tu?
Tumeunganishwa na Upendo wa Dhati na kweli na siyo Pesa. Pesa Baki nazo wewe. Sisi tunabakia kupendanaa
 
Hao jamaa ni kama wazazi wa mwanamke tu, wanafanya kazi na serikali yoyote iliyopo madarakani.

as long as CCM bado ipo basi na wao bado wapo sana hivyo sidhani kama wameathirika kwa lolote
Malipo baba malipo, ajaye hawajui anakuja na machawa wake tena promax kuliko hao akina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah mzee wa gentleman 😂 😂 😂 😂
 
Hao chawa watakuja kuabika vibaya sana na kulazimika kukimbia jukwaa na kuja na id mpya, uchawa wao ni pro max
Hujui sifa kuu ya chawa.
Chwa hana boss.
Hata leo mapinduzi yakifanyika lissu akawa raisi, haohao chawa ndo watakua wa kwanza kumpongeza na kumsifia
 
Namtafuta Lucas Mwanshambwa, Tlaatlaah na machawa wengine ili nijue msimamo wao juu ya hiki kilichotokea.

Naona wametulia ghafla, huenda aliyekuwa anawalipa zike buku saba Saba ndiye huyu aliyetimuliwa.

Hivyo, ukimwona yeyote kati ya watajwa hawa☝️nijuze maana nawatafuta sana siwaoni.

Asanteni 🙏
Kwa kweli Tlaatlaah ameumia sana ndiye alikuwa anategemea Nchimbi kuwa Rais ajaye
 
Tumeunganishwa na Upendo wa Dhati na kweli na siyo Pesa. Pesa Baki nazo wewe. Sisi tunabakia kupendanaa
Upendo kwa watekaji na wauaji😁,kama vice presidents, speaker and prime minister wamefanywa mbaya wewe ni nani Lucas Msandambwa 😂,na kama wameua mgonjwa wa akili nabii Tito hata wewe hauko salama, pole ndugu
 
Hujui sifa kuu ya chawa.
Chwa hana boss.
Hata leo mapinduzi yakifanyika lissu akawa raisi, haohao chawa ndo watakua wa kwanza kumpongeza na kumsifia
sawa, basi tuwaone wakija na swaga mpya tuone hizo sifa kuu
 
Namtafuta Lucas Mwanshambwa, Tlaatlaah na machawa wengine ili nijue msimamo wao juu ya hiki kilichotokea.

Naona wametulia ghafla, huenda aliyekuwa anawalipa zike buku saba Saba ndiye huyu aliyetimuliwa.

Hivyo, ukimwona yeyote kati ya watajwa hawa☝️nijuze maana nawatafuta sana siwaoni.

Asanteni 🙏
Tunajiandaa kumsifia makamu wa Raisi mpya na tunaandaa nondo Kali za kumchafua Dr E. Nchimbi.
Mimi,
Lucas Mwashambwa
Ofisi ndogo za chama,
Lumumba
DSM.
 
Back
Top Bottom