Namtafuta Lukas Mwanshambwa na wenzake

Namtafuta Lukas Mwanshambwa na wenzake

Namtafuta Lucas Mwanshambwa, Tlaatlaah na machawa wengine ili nijue msimamo wao juu ya hiki kilichotokea.

Naona wametulia ghafla, huenda aliyekuwa anawalipa zike buku saba Saba ndiye huyu aliyetimuliwa.

Hivyo, ukimwona yeyote kati ya watajwa hawa☝️nijuze maana nawatafuta sana siwaoni.

Asanteni 🙏
Tilalilah na mwabustani hawana hali mpka sasa hawaelewi kinachoendelea
 
Back
Top Bottom