Namtafuta Lukas Mwanshambwa na wenzake

Namtafuta Lukas Mwanshambwa na wenzake

Namtafuta Lucas Mwanshambwa, Tlaatlaah na machawa wengine ili nijue msimamo wao juu ya hiki kilichotokea.

Naona wametulia ghafla, huenda aliyekuwa anawalipa zike buku saba Saba ndiye huyu aliyetimuliwa.

Hivyo, ukimwona yeyote kati ya watajwa hawa☝️nijuze maana nawatafuta sana siwaoni.

Asanteni 🙏
Ukiona id mpya zipo sana kwenye jukwaa la siasa ujue ndo wao, hawana namna nyingine ya chawa kuhama koti zaidi ya kujifanya id mpya
 
Hapo sawa! Nikadhani The Icebreaker katuachanisha
Kwahiyo unababaika na matisheti ya ccm? Matisheti yenyewe wanapewa kama ndio mshahara wao kwa kupiga domo hapa JF?

Wewe ni wa thamani sana,achana na huyo mzee atakupotezea muda tu,
Buku 7 kwa siku ndio mtaishi? Au mtakua mnashindia ndimu na chumvi tu?
 
Back
Top Bottom