Namtafuta Lukas Mwanshambwa na wenzake

Namtafuta Lukas Mwanshambwa na wenzake

Namtafuta Lucas Mwanshambwa, Tlaatlaah na machawa wengine ili nijue msimamo wao juu ya hiki kilichotokea.

Naona wametulia ghafla, huenda aliyekuwa anawalipa zike buku saba Saba ndiye huyu aliyetimuliwa.

Hivyo, ukimwona yeyote kati ya watajwa hawa☝️nijuze maana nawatafuta sana siwaoni.

Asanteni 🙏
wako kwenye aresiti hausi
 
Kweli wamepotea!
 
Yaan wanatia huruma sana
 
Vijana wengi wa uvccm wengi shule amna wenzao wajanja wanaingia huko wakiwa na vyeti na wako nondo hata chama kinaona wapi kitawatumia with soft touch wanaingia kusaidia seeikalini sasa hawa wengine ni wa kupewa tshirt baada ya hapo wanakuwa trash in bin
 
Namtafuta Lucas Mwanshambwa, Tlaatlaah na machawa wengine ili nijue msimamo wao juu ya hiki kilichotokea.

Naona wametulia ghafla, huenda aliyekuwa anawalipa zike buku saba Saba ndiye huyu aliyetimuliwa.

Hivyo, ukimwona yeyote kati ya watajwa hawa☝️nijuze maana nawatafuta sana siwaoni.

Asanteni 🙏

Lucas atakuja na andiko pages 100
 
Back
Top Bottom