Namtafuta Layla!!

You lying cuppy!...how?inamaana nimekuwa baptized na jina la Leyla now?....

No cuppy leo siyo friday siwezi kuvaa low cut jeans ila i nimevaa jessica simpson shoe 4 inches high...and a french connection dress pant.


What do you have on today, Cuppy? Low cut jeans and heels

Oooh Cuppy...it's okay....muuuuua...muaaaaa
 
Unajua cuppy nilivyokuwa primary yeah pale Mlimani tulikuwa tunadandia mabus...Wee muulize Moelex atakwambia alafu siku ya kufunga shule tulikuwa tunaambiwa kuna chinjachinja basi weeh tulikuwa tunaogopa sana...

so wakati wa kutoka shule ukifika mnaelekea kituoni eeh bus likija na hivi una crush na jamaa unajifanya sister duuh kweli ila nilikuwa siangalii makunyanzi mwenzio nilikuwa nadandia tena nilikuwa nalianzia mbali kishenzi hata kabla halijasimama then nalidandia.....


Moelex kaka yangu upo wapi! mwenzio na remincing about them old days at Mlimani primary school
 
Napendekeza kwa Invisible Jukwaa la Siasa lifungwe...huku watu wanadiscuss peacefully no haters wala wajuaji looo
 
kumbe weye wa juzi juzi tu
sie tulikuwa tunawakimbia fisi enzi hizo ndo maana ya kuuvaa umande ambapo wengine waliukimbia....
teh teh
 
Napendekeza kwa Invisible Jukwaa la Siasa lifungwe...huku watu wanadiscuss peacefully no haters wala wajuaji looo
shekhe unatuvunja mbavu kweli weye.
si unajua mechi ni uwanjani ila baada ya hapo ni kubadilishana jezi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom