Namtafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Sikitu, Aug 10, 2012.

 1. S

  Sikitu Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi yeyote as long as Iwe ya IT
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  okay...unaweza tengeneza website au blog?
   
 3. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  usife moyo
   
 4. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  unamtafuta kazi au unatafuta kazi? kama unamtafuta kazi basi towa maelezo zaidi ya taswira yake ili tukimuona tukujulishe :ballchain:
   
 5. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  bro are you serious? jamaa amesema kazi yeyote ya IT alafu unauliza kama anaweza kutengeneza website au blog? sasa kwani hizo sio kazi za IT?
   
 6. KML

  KML JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nimempata kazi ndugu unayemtafuta,si mweupe mrefu hivi? alafu ana nywele za kiarabu hivi?
   
 7. S

  Sikitu Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhhhh jamani nilikuwa najaribu kujiunga na JF, yes I can designe a website any website just let me and I will work it for you
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Not just any, inabidi ujifunze kutengeneza website nzuri, isiyoumiza macho na yenye mpangilio unaosomeka.
  Karibuni tuna mradi wa kutengeneza tovuti ya klabu yetu, itakayokuwa na lugha mbili kwa kuanzia. Take you time to survey football clubs web designs, this could be your chance.
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  IT sii ina mambo mengi je kama yeye mtu wa hardware au programmer?
   
 10. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Labda kiswahili kiwe kimebadilika lakini unaposema kazi yeyote ya IT inafahamika ni aina yeyote ile na iwe software, mildware :eek2: au hardware ni yeyote!!!!
   
 11. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kazi yoyote! basi huyu atakuwa a jack of all trades but a master of none...dnt think its wise hiring such a person
   
 12. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wee mphamvu ebwana wewe watengeneza website ya footbal...onaonaje mwana na mie niingie kwenye hiyo deal niwe na kijisehemu changu kwenye website kinachofanya match analysis ya mechi za ligi ya voda?
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umesoma chuo gani? Una uzoefu wowote? Hebu mwaga CV yako kama kweli upo siriaz!
   
Loading...