Namtafuta Joseph Nicas Lukoa

Namtafuta Joseph Nicas Lukoa

Wapendwa habarini.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nnaomba kwa anayemjua anipatie namba yake pm. Tafadhali sana .

Asanteni
Wanaomjua wanakuja muda si mrefu mpendwa wangu wakupatie taarifa zake
Kama siyo namba zake
 
Ninamfahamu sana, ila kwa utaratibu wa kawaida kuna mawili. aidha wewe unipe namba yake niitume kwakwe au nimfikishie taarifa kuwa kuna mtu anamtafuta jamii forums, kindly choose one option
 
Wapendwa habarini.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nnaomba kwa anayemjua anipatie namba yake pm. Tafadhali sana .

Asanteni
Nicas ni best yangu na nna number yake ila mie mgeni humu jf, nauliza PM ndio kitu gani.
 
Wapendwa habarini.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nnaomba kwa anayemjua anipatie namba yake pm. Tafadhali sana .

Asanteni
Kwanini usiweke details muhimu kama chuo alichosoma na mwaka aliomaliza!!! Ili kama kuna mtu anayejua mtu mwingine aliyemaliza huko akusaidie kuuliza??

Duc In Altum.
 
Rafiki yangu wa chuo. Sina jinsi ya kumtafuta nimeona nimlete hapa kama kuna mtu anamjua anipatie namba yake.

muulize yule rafiki yake mwingine mliyekuwa mnasoma naye chuo atakuwa na mawasiliano naye.
yaani darasa zima wote hamna mwenye namba zake.?
 
muulize yule rafiki yake mwingine mliyekuwa mnasoma naye chuo atakuwa na mawasiliano naye.
yaani darasa zima wote hamna mwenye namba zake.?
Tulikuwa faculty tofauti afu nilipoteza simu ndiyo maana.
 
Huyu atakuwa kamaliza LLB UD 2011.

Atapita hapa na namba yake utapata tu.

Kwanini usiweke details muhimu kama chuo alichosoma na mwaka aliomaliza!!! Ili kama kuna mtu anayejua mtu mwingine aliyemaliza huko akusaidie kuuliza??

Duc In Altum.
 
Back
Top Bottom