Bishanga mwambie Kimbweka akwambe anataka nini nimekuja. kawali ya yote akwambie yeye huwa anatumia gia ngapi? na oil ya engine yake ni supu ya pweza ama ya ngisi? pia tela yake inavutwa kwa nini?
Ngoja nimalizie kumla mzigo zen ntaku pm boss wangu ondoa shaka hawa kama magazeti tu unasoma unaeka chini ya meza akijitokeza mpika maandazi anafungia