Namtafuta huyu kaka

Kwani wewe ni huyo dada anaonekana?
Huyo bro tuko nae mitaa ninapowajibika
 
du mkuu Bibi Ake uko so cute....hayo macho mhhhh!!! yananitaman...
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada.
Namtafuta baba yangu kwa majina anaitwa Ally Rashid ni mwenyeji wa iringa sehemu moja inaitwa Ifunda. Ni askari polisi Iringa japo sijui kituo chake cha kazi kwa sasa lakini kabla ya kuhamishiwa Iringa alikua anafanya kazi Mtwara kituo cha kazi kilikua Mkoani na alikua anakaa kota za polisi majumba meupe kwa kipindi hicho na familia yake.
Please kama kuna mtu ana taarifa yake yoyote naomba sana anijulishe, nimemtafuta zaidi ya miaka 12 sasa sijafanikiwa kumpata.
Nina picha yake ila sijui namna ya kuiweka hapa.
 
Sina hakika sanaaa ila jina la ukoo wake ni ukoo wa mwenge, ninachojua anamdogo wake aliolewa huko mtwara na askari pia ana ndugu zake mtoni kijichi na ubungo pamoja na singida.
 
sijui namna ya kuiweka hapa naomba unielekeze
 
Jamii forum.wavuta bangi wako wengi sana.unachouliza si unachojibiwa
 
Binadamu tu waajabu sn! Yaani unalia wivu kwa sura nzuri ya mwenziyo usiyefahamiana naye?
Aaarrrrgh. Ndthzaaa!
 
ada ya mtoto imekuwa mbinde baada ya magu kubana sasa unatafuta mtu kwa nguvu
 
wadau ni kutaka kujua tu ...hivi kuweka picha ya mtu kwenye mitandao ya kijamii bila ya ridhaa yake , hii imakaaje wadau kisheria ni kosa au si kosa..? naomba tu kufahamishwa.
Kama haujakwiba, kuchongolea mdomo waheshimiwa ama kula visivyolika, unakuwa na wasiwasi wa nini kuweka pua lako halisi humu?
Ndomaana kuna watu, comments zao zimeenda sana shule, lkn zinachusha kujibu kwa kuwa, kutoangalia sura ya mtu unayeongea nae ni sawa na kuongea na jini.
Tubadilike tuanze kuweka sura zetu halisi,kwakuwa cc ni raia wema tufaidi maisha. Kuweka picha za ajabuajabu kwenye avatar kunachusha kishenz.
 
Anza Clinic Mara moja na Jiepushe na Pepo baya la kuichoropoa!

Inaonekana Mlikutana kwny Send off jamaa akahakiki 'vyeti' juu kwa juu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah
 
Singeli itakufa kwakuwa ni Uhuni- Juma Nature.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…