namtafuta GRACE JOACHIM

namtafuta GRACE JOACHIM

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,824
Reaction score
3,089
namtafuta grace joachim alisoma st thomas gongo la mboto alikua anakaa kisarawe
 
namtafuta ''achilewebo achechenao mwanjeda chilida'' last time tuliachana kwenye maandamano ya gas N'JINI N'TWARA
 
Namtafuta Diana Palla na Fredrick Makalla mara ya mwisho tumeachana Dubai.
Nataka kujua kama bado wako Hai.
 
namtafuta UKWAJU mara ya mwisho tuliachana SHYCOM ..
 
Namtafuta jamaa yangu anayeitwa Breakfast ,tumbo linamuhitaji sana
 
Namtafuta mtalii mmoja hvi anaitwa jk,mara ya mwisho tuliachana nae morogoro kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa.
 
Namtafuta rafiki yangu Cobe Briant maana tangu nimuazime kale kamkokoteni kangu mpakaleo hii kimyaaa! naomba anijulishe kama kesharudi kwao USA
 
nawatafuta ndugu wawili David Jeremia na Fredrick Nicolous. Walisoma s/m mikocheni A 1995-2001
 
Thomas machibya, Anthony rashid popote mlipo tuwasiliane +8180 4444 1220 please nawamisi Kinoma.
 
Nawatafuta Shija Herman, Gaspa Ndege na Libu Shija mara ya mwisho tuliachana kurasini.
Namtafuta Deus Nyenza mara ya mwisho tuliachana mbezi beach.
Wa mwisho msichana niliyempenda kwa dhati na hata toka katika moyo wangu. Anaitwa Jamila Kanyaishozi mtoto wa Dr mara ya mwisho tuliachana kwamtoro Kondoa.
 
namtafuta mwalimu ndyetabula au baba tusime. nimemiss sana ticha wangu. sijui atakua bado yupo bukoba!?. nlienda kumcheck pale Ihungo wakanambia alihamishwa tangu mwaka 2000. kyoma popote ulipo nakutafuta. niandikie via figganigga@jamiiforums.com. mia
 
Namtafuta Yusuph Mathias Kibajaji..
Mara ya mwisho alinitoroka Maisha Club.
Mwenye Cont zake, p'se ani Pm.

Ni mrefu maji ya kunde,
anatembelea Vogue.
 
Back
Top Bottom