Namtafuta fundi dishi mzuri kwa Dar

Namtafuta fundi dishi mzuri kwa Dar

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Wakuu habari za kazi natumai mko poa,Nina tatizo nyumbani la dishi nimeambiwa halifanyi kazi mimi niko nje ya Dar niko mikoani sasa namtafuta fundi mzuri mwenye uhakika na kazi yake asiwe mbabaishaji ili tuwasiliane aende nyumbani anirekebishie huo ungo ungo ni wa futi8,
 
Wakuu habari za kazi
natumai mko poa,Nina tatizo nyumbani la dishi nimeambiwa halifanyi kazi
mimi niko nje ya Dar niko mikoani sasa namtafuta fundi mzuri mwenye
uhakika na kazi yake asiwe mbabaishaji ili tuwasiliane aende nyumbani
anirekebishie huo ungo ungo ni wa futi8,

Check ktk facebook page ya mustapha madish
 
Wakuu habari za kazi
natumai mko poa,Nina tatizo nyumbani la dishi nimeambiwa halifanyi kazi
mimi niko nje ya Dar niko mikoani sasa namtafuta fundi mzuri mwenye
uhakika na kazi yake asiwe mbabaishaji ili tuwasiliane aende nyumbani
anirekebishie huo ungo ungo ni wa futi8,

Piga namba hii,0659161111 Mustapha Madish. Jina langu naitwa Mike.
 
Back
Top Bottom